Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Zamani nilikuwa nasikiliza sana tuongee asubuhi startv, sijui bado ipo!
Ni wakati ule wapo akina Baruan Muhuza, Yahya Mohamed, Kamuntu.
Palikuwaga na mijadala ya moto unatoka umeshiba kichwani hasa.
Kuna siku Ndugai nusu akimbie studio live na ndio siku nilipojua maana ya neno inferiority complex.
Palikuwa na Mnyika na Job, sasa mnyika baada ya kushusha points akasema mzee wa Galilalaya ana inferiority complex, weh! yule mzee atakuwa na matatizo kichwani sio kwa kupanic kule!