Pre GE2025 Kitenge: Katika fyekafyeka ya Mawaziri bado Mmoja, Ni nani huyo?

Pre GE2025 Kitenge: Katika fyekafyeka ya Mawaziri bado Mmoja, Ni nani huyo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716

Mchambuzi nguli wa Magazeti Maulid Kitenge amesema katika fyekafyeka ya Mawaziri bado Mmoja

Kitenge ameuliza: Ni nani huyo?

Source: Wasafi media

Mlale Unono 😀
 
Kitenge ameuliza: Ni nani huyo?
1+1=2
1721928812291.png
 
Hivi watu wakitenguliwa huwa personally wengine hupata faida gani?
Wewe kama mlipa Kodi alafu kuna watu incompetent wanaendelea kula kodi zako bila value for money alafu unashangilia huenda hujui katika hii scenario boss na mtumishi ni nani...
 
unemployement tanzania ni >85% , sasa unaweza imagine watu wanafanya nini wakiamka asubuhi mpaka jioni?
Wajinga hawa vijana
Maana wote waliowahi kushangulia kutenguliwa, baada ya muda walirudi
 
Kwa mnaodhani ni mchemba...futeni kabisaa wazo hilo...yaan yule ndio roho ya mama
 
Back
Top Bottom