Naam ni mwendelezo wa maigizo na huyo aliyetumbuliwa na pensheni yake na pesa alizoiba huenda ni better off na anakipato guaranteed kuliko kaya kumi za common mwananchi na kuondoa hawa vidagaa mara nyingi ni danganya toto wakati mapapa wanaendelea kutafutafuna nchi...
Binafsi am just an observer I have long stopped believing in any kind of politician and what I call for is Strong Institutions, Total Transparency which will bring Uwajibikaji (zaidi ya hapo ni kuendelea kuchezeshwa kwa tunes wanazotaka walamba asali)