Kwamba inonga alohongwa na wananchi??Haya ni ukweli mtupu iwapo Inonga atakuwa sehemu ya kikosi.
Inonga alishalipwa na upande wa pili ili aiumize timu na anampango kazi wa kutekeleza hayo.
Kama hawawezi kuwaamini vijana wengine basi huu ndio mwisho.
😆😆Usihofu sasa Viongozi wako busy kutenga Hela za Kuhonga ili angalau Timu iwe ya Pili kwani isipokuwa Wapigwa vibaya.
Kwamba mudi ni hamna kitu?Simba hamna kitu aisee.
Mo kwa Simba ni kama Wazungu wanavyo sema tunaipenda afrika na kuipa misaada ili ipate maendeleo na wakati huu ni zaidi ya miaka 40 tangu nchi za Afrika zipate uhuru na hakuna maendeleo yoyote zaidi ya machafuko kila pembe ya Afrika.