Kitenge: Ni ngumu Simba kupata point kwenye mechi zilizobakia

Haya ni ukweli mtupu iwapo Inonga atakuwa sehemu ya kikosi.

Inonga alishalipwa na upande wa pili ili aiumize timu na anampango kazi wa kutekeleza hayo.

Kama hawawezi kuwaamini vijana wengine basi huu ndio mwisho.
Kwamba inonga alohongwa na wananchi??
 
Simba hamna kitu aisee.
Mo kwa Simba ni kama Wazungu wanavyo sema tunaipenda afrika na kuipa misaada ili ipate maendeleo na wakati huu ni zaidi ya miaka 40 tangu nchi za Afrika zipate uhuru na hakuna maendeleo yoyote zaidi ya machafuko kila pembe ya Afrika.
 
Kwamba mudi ni hamna kitu?
 
Back
Top Bottom