Kitenge: Simba hata wangecheza siku 3 mfululizo wasingeweza kufunga wydad Casablanca

Kitenge: Simba hata wangecheza siku 3 mfululizo wasingeweza kufunga wydad Casablanca

Yanga tungekua kwenye kundi la simba sahivi tungekua na point 9,
Mkinuna natuma goli la wydad.
Baada ya miaka 27 ndiyo unacheza makundi, ndiyo unapata point 2,Halafu unakuja humu kutupigia kelele za kindezi.

Yanga pale kuña timu ipi ya klabu bingwa zaidi ya kukimbia kimbia tu.

Mechi ZOTE Ni kupigwa na kusawazisha. Halafu story inaishia hapo.

Saizi yenu Ni shirikisho mkakutane na papatu papatu wenzenu kina klabu Africain.
 
Kiukweli kwa upande wa Simba goli lilikuwa halionekani litatokea wapi, ilikuwa ni kujikanyaga kanyaga tu huko mbele!
Hahahaaaaa..... Ndezi kweli kweli.

La Yanga uliliona Halafu ikawaje. Ukafuñga mangapi zaidi ya mbio mbio tu uwanjani.

Mechi ZOTE Yanga imecheza kutafuta droo baada ya kutangulia kupigwa.

Punguza uzuzu.
 
Kitenge ni adui namba moja wa Simba Sports Club
FB_IMG_1629179437509.jpg
 
Back
Top Bottom