A
Anonymous
Guest
Tunapitia wakati mgumu sana tunaofika Kitengo cha TRA Ofisi Kuu Mwanza ili kupata Control Number za kulipia Capital Gain Tax.
Kufanya Uhamisho wa viwanja Sheria imebadilishwa, ni Asilimia 3 sasa, hivyo kukupa Control Number wanataka rushwa na hawakupi bila kufanya hivyo.
Naomba kitengo hicho kimulikwe kinakosesha Serikali mapato, kuna jamaa anadaiwa rushwa ya miloni 6 ili apewe Control Number.
Pia kuna mtu anaitwa Fortu anasumbua sana anasema rushwa inaanzia kwa mabosi wake, Serikali itusaidie kwani kazi za watu haziendi huku.