DOKEZO Kitengo cha kupata Control Number - TRA Ofisi Kuu Mwanza kinanuka rushwa, kichunguzwe

DOKEZO Kitengo cha kupata Control Number - TRA Ofisi Kuu Mwanza kinanuka rushwa, kichunguzwe

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mifumo mingi inatoa control namba online. TRA wanashindwa nini? Huo ni mwanya wa rushwa uliowekwa makusudi.
 
Nimekuwa mbishi Sana wa kutoa rushwa kwa miaka mingi maisha yangu yamekuwa ya tabu Sana kwa kusagiwa kunguni na waliokuwa wanataka rushwa kwa kila huduma niliyoiomba.Eeh mungu nihukumie wote walionitesa na kunitungia maneno ya uongo kwakuwa sikuwapa rushwa ameen
 
Back
Top Bottom