Nimekuwa mbishi Sana wa kutoa rushwa kwa miaka mingi maisha yangu yamekuwa ya tabu Sana kwa kusagiwa kunguni na waliokuwa wanataka rushwa kwa kila huduma niliyoiomba.Eeh mungu nihukumie wote walionitesa na kunitungia maneno ya uongo kwakuwa sikuwapa rushwa ameen