hawana maana yoyoteWasivyo na aibu wala uoga wanakula hadi rambirambi!
Whether ni kitengo au idara hakuna tofauti, uwepo wake haumsaidii Mtanzania! Kuendelea kuwepo kwake ni ufisadi na hauvumiliki, ni vema kisiwepo kwa sababu zamani hakikuwepo na wananchi walipata misaada kwa namna nyingine!Kwanza sio kitengo cha maafa! Ni Idara ya maafa. Basi sawa ila kinavunjwa kwa maelezo yako na mbadala uwe nini?
Wanazingua hawa, idara ya usalama wa Taifa haitoshi mpaka watukamue kwa michango inayoishia matumboni mwao!Kitengo cha maafa ni kwa ajili ya Misiba ya viongozi sio nyie wazee wa Solidarity Tax!
Tuelewane hapo πππ tumekuwa na misiba mingi ya kitaifa kwa mfululizo kwa hivyo hali ya mfuko ni Tete! Tuendelee kukaza mkanda na tuwe wazalendo kwa taifa letu kwa kulipa kodi!
Huyu mama karithi ukatili wa mwendazake. Kwenye tetemeko la ardhi Kagera jiwe alisema halipwi mtu.Inawezekana kabisa kuwapa waathirika wa moto huu kifuta machozi
Jiwe alikuwa jambazi!Inabidi ajitafakari sana ili asipate laana kama ya jiwe! Wizi na ujambazi wa kidola siyo dili!