Kitengo cha Propaganda CCM hakifanyi kazi yake kwa ufasaha

Shetani anamshauri Mungu

USSR
 
kwani uoni wanamziki na wasanii wameanza kushituka upepo wa sasa sio wa kitoto ukihalibu unakuwa umejihalibia wako makini sana hata mpira wameweka siasa pembeni
 
Wewe si upoo?
 
1. Andaeni matukio ya kuhamisha attention kwa kila tukio la kuchafua Chama. Hususani siku ambayo polepole anafanya mikutano yake uchwara.
Kumbe zile lugha chafu kwenye comments zilizalishwa na watu wanaojitambua! Aisee!?
 
Propaganda kwenye Dunia ya leo hazina tija kwenye Siasa. Watu wanataka uhalisia na ukweli siyo maigizo na mbwembwe.
 
Propaganda kwenye Dunia ya leo hazina tija kwenye Siasa. Watu wanataka uhalisia na ukweli siyo maigizo na mbwembwe.
CHAUMMA mna uhalisia gani? Mbona mmepokea magari mlijua mmepewa bure?
 
Hakina fedha siku hizi
Ila kinacholipa ni ....... Mkuu
 
Wenyewe wamechoka,ufisadi sasa basi,cha ajabu wenyewe wanapiga domo kwa ajili ya mafisadi na mwisho wasiku wanaishia kutupiwa makombo na siku wakigoma kuendelea kupiga domo wanatekwa na kupotezwa.
 
Turudi darasani kidogo. Tunasema kwa kutamka maneno kwa ufasaha lakini hatutendi kwa ufasaha. Tunatenda kwa umakini na umahiri. Asubuhi njema!.
 
Hukumsikia HP alisema ukipita Lumumba kuko kimya ni kama hakuna uchaguzi mkuu. Coordination ya mambo yote.inatokea msasani penisular karibu na Sleepway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…