didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
**** kweli we jamaaUkishajua then?, kwanza benk hakuna pesa kama unavyodhani
Unataka pesa na freedom ujasiriamali is only way hakuna tajiri amefanikiwa kwa kuajiriwa.
Mbona kakujibu vizuri tuu halafu unajibu matusi**** kweli we jamaa
Tumeamua, na huna la kutufanya
Kitengo kinachoitwa Treasury uwe Back Office na siyo Front Office utapiga hela...Je ni watu wa IT, Credit, content creators, human resource, corporate, risk, au ni kitengo gani wanazengo chenye maokoto mengi??
Benki gani bongo zina maslahi mazuri kwa wafanyakaz wake?
We dogo JIHESHIMUTumeamua, na huna la kutufanya
Sawa Mkuu, nisamehe mm nisamehe sana 😎We dogo JIHESHIMU
Hivi yule Popoma GENTAMYCINE yupo ?Sawa Mkuu, nisamehe mm nisamehe sana 😎
Popoma ataenda Wapi zaid ya majukwaa ya michezo na ngonjera zakeHivi yule Popoma GENTAMYCINE yupo ?
Kwahiyo ulitaka tuone ulivyotaja kiungo kilichokufanya upo duniani? 😏
SawaTangu lini benki kuna kitengo cha maslahi....
Ndio nyinyi mnatuibia hela zetu kila siku tunashangaa salio linapungua....
Ni kweli wana hela nzuri, tatizo ni kwamba wengi wao ni cost center, wakati corporate, treasury na baadhi ya credit officers ni profit center.IT upande wa Softwarw na Security