imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Je kama Mtoto kasema amebakwa na Baba yake?Acheni ufala? Huyo mtoto baba yake mnafunga mnaacha mwanae na mtoto atakayezaliwa uraiani je watalelewa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je kama Mtoto kasema amebakwa na Baba yake?Acheni ufala? Huyo mtoto baba yake mnafunga mnaacha mwanae na mtoto atakayezaliwa uraiani je watalelewa na nani?
Utuachie sisi pekeetu hapna 😂😂😂Dunia simama nishuke kituo cha mbele
Hili swala linasumbua sana hata Nchi zilizoendelea, Baba na mwana,Mama na Mwana,Kaka na Dada, tena sio kubakana, kwa hiyari.
HahahahahaUtuachie sisi pekeetu hapna 😂😂😂
Hamnaga hayo mambo kule labda utake mwenyeweNyapara akamshughulikie huyu mbuzi
Kichwa cha uzi kinasemaje?Je kama Mtoto kasema amebakwa na Baba yake?
[emoji63][emoji63][emoji63]Mzee kaamua ale bao lake
Ahukumiwe kunyongwa?,watu mnapenda kuhukumu wenzenu nyie dah!!.Hamnaga hayo mambo kule labda utake mwenyewe
Huyu angetakiwa ahukumiwe kunyongwa
👍Kichwa cha uzi kinasemaje?
Kwahiyo angenyongwa tu? Kwasababu ukimwachia ataendelea kuzaa na binti yake. Kama kuku!Kumweka jela huyo kumeongeza matatizo katika hiyo familia.