KERO Kiteto: Walimu waliohamishwa Januari 2024 hawajapewa fedha ya usumbufu wala kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Walimu waliohamishwa tangu Januari 2024 Wilayani Kiteto hawajapewa fedha ya usumbufu wala kujikimu, tunaomba mamlaka iingilie kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…