koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Hahahaha...Huuu Ila Kwel We Nyani.Nilidhani umeandika kinembe😀.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha...Huuu Ila Kwel We Nyani.Nilidhani umeandika kinembe😀.
Aiii weweeee, thatha thi uni-PM namba yako ili nikithikilidhe vithuri jamaniii.?Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za watu Napata shida sana maana huwa wananichekka sana.
Shukrani sanaUmenikumbusha,
wakati najifunza kusoma nilikua nashindwa kutamka,'so nasema tho' asa maza ndo alikua ananifundisha,maskini ya mungu sijui alikua anaona najifanyisha, alikua ananipiga mpk basi.
Lakin nashukuru mungu kwa sasa kimepungua
So,usijali kitapungua lakin siyo kwisha