KITHEMBE KINANIFANYA NICHEKWE.

Aiii weweeee, thatha thi uni-PM namba yako ili nikithikilidhe vithuri jamaniii.?
[emoji12]
 
Umenikumbusha,
wakati najifunza kusoma nilikua nashindwa kutamka,'so nasema tho' asa maza ndo alikua ananifundisha,maskini ya mungu sijui alikua anaona najifanyisha, alikua ananipiga mpk basi.
Lakin nashukuru mungu kwa sasa kimepungua
So,usijali kitapungua lakin siyo kwisha
 
Shukrani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…