Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Huku kwetu Kwamtogole kiti cha choo kikivunjika hakuna umuhimu wa kukibadilisha, choo kinabaki hivyo hivyo mradi kinafanya kazi.
Kiti cha choo kinakufanya ukae kwa raha ukiwa unatumia choo, pia kwa sababu za ki afya wunashauriwa kufunika choo ukiachia mzigo uwende.
Tena mwenye nyumba anakuonyesha nyumba anayopangisha bila kuona kuwa choo kina kasoro.