Kiti cha choo ni muhimu si urembo

Kiti cha choo ni muhimu si urembo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1571891036183.png

Huku kwetu Kwamtogole kiti cha choo kikivunjika hakuna umuhimu wa kukibadilisha, choo kinabaki hivyo hivyo mradi kinafanya kazi.

Kiti cha choo kinakufanya ukae kwa raha ukiwa unatumia choo, pia kwa sababu za ki afya wunashauriwa kufunika choo ukiachia mzigo uwende.

Tena mwenye nyumba anakuonyesha nyumba anayopangisha bila kuona kuwa choo kina kasoro.
1571891446980.jpeg
 
View attachment 1242678

Huku kwetu Kwamtogole kiti cha choo kikivunjika hakuna umuhimu wa kukibadilisha, choo kinabaki hivyo hivyo mradi kinafanya kazi.

Kiti cha choo kinakufanya ukae kwa raha ukiwa unatumia choo pia kwa sababu za ki afyawunashauriwa kufunika choo ukiachia mzigo uwende.

Tena mwenye nyumba anakuonyesha nyumba anayopangisha bila kuona kuwa choo kina kasoro.
Ungejua tabia yangu chooni sasa duh
Kwenye vyoo vya kukaa vya public kama hivi huwa sipendi kutumia hilo kalio(funiko la kukalia)
Huwa nachukua matishu nakausha kutazote za hilo sink then naanza kuzitandika juu kwa namna nitakayoridhika kwamba tako halitagusa hilo sink
Then ndo nakaa kwa kuinamia mbele ili mgongo usiguse hilo funiko ambalo huwa nyuma yangu ambalo licha ya kuepuka kuligusa lakini huwa nalo nimelifuta kikamilifu
Mengine ntakwambia tukiwa wawili 😇😇
Ustaarabu wa chooni ni mtihani wa usafi pia
Karibu tunye......
 
1571892124554.jpeg

Huwa ninatembea na hizi tissue kwenye handbag, public toilet ninaisafisha kwanza na kutupa kwenye bin.
 
Aisee wewe ni mimi kabisa
Ungejua tabia yangu chooni sasa duh
Kwenye vyoo vya kukaa vya public kama hivi huwa sipendi kutumia hilo kalio(funiko la kukalia)
Huwa nachukua matishu nakausha kutazote za hilo sink then naanza kuzitandika juu kwa namna nitakayoridhika kwamba tako halitagusa hilo sink
Then ndo nakaa kwa kuinamia mbele ili mgongo usiguse hilo funiko ambalo huwa nyuma yangu ambalo licha ya kuepuka kuligusa lakini huwa nalo nimelifuta kikamilifu
Mengine ntakwambia tukiwa wawili [emoji56][emoji56]
Ustaarabu wa chooni ni mtihani wa usafi pia
Karibu tunye......
 
Kazi ni kwenye kile cha kujioshea kuna hoteli moja niliingia nikakuta kimetapakaa nyaaa tangu siku hio....
 
View attachment 1242678

Huku kwetu Kwamtogole kiti cha choo kikivunjika hakuna umuhimu wa kukibadilisha, choo kinabaki hivyo hivyo mradi kinafanya kazi.

Kiti cha choo kinakufanya ukae kwa raha ukiwa unatumia choo, pia kwa sababu za ki afya wunashauriwa kufunika choo ukiachia mzigo uwende.

Tena mwenye nyumba anakuonyesha nyumba anayopangisha bila kuona kuwa choo kina kasoro.
View attachment 1242688
Raha ya hicho kiti kukitumia mwenyewe,au kama una mke ,mkitumia pamoja
Utamu wa kukata gogo, ukate ukiwa umechuchumaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 1242678

Huku kwetu Kwamtogole kiti cha choo kikivunjika hakuna umuhimu wa kukibadilisha, choo kinabaki hivyo hivyo mradi kinafanya kazi.

Kiti cha choo kinakufanya ukae kwa raha ukiwa unatumia choo, pia kwa sababu za ki afya wunashauriwa kufunika choo ukiachia mzigo uwende.

Tena mwenye nyumba anakuonyesha nyumba anayopangisha bila kuona kuwa choo kina kasoro.
View attachment 1242688
Dah...mnatuchanganya kwelikweli.......huyu anatushauri tukitoka chooni tunawe mikono.....mwingine anasema kiafya ni vizuri kunywa mkojo wako wa asubuhi......mtuhurumie😎
 
Mbona yale maghorofa mnayojenga mnaweka vyoo vya kukaa?
 
View attachment 1242678

Huku kwetu Kwamtogole kiti cha choo kikivunjika hakuna umuhimu wa kukibadilisha, choo kinabaki hivyo hivyo mradi kinafanya kazi.

Kiti cha choo kinakufanya ukae kwa raha ukiwa unatumia choo, pia kwa sababu za ki afya wunashauriwa kufunika choo ukiachia mzigo uwende.

Tena mwenye nyumba anakuonyesha nyumba anayopangisha bila kuona kuwa choo kina kasoro.
View attachment 1242688
Alafu raha ya hicho kiti uwe umebanwaaa alafu ndo uingie ukikalie kwa raha zako unatamani uendekee kukaa tuu huko usitoke
 
Back
Top Bottom