Kuna mkono kwa ndani huwa unapapasa nyeti za watu wazima[emoji23][emoji23]Jamani sisi tunaotumia vya shimo mtuelekeze namna ya kuchamba kwenye hicho kiti.[emoji3][emoji3][emoji3]
Ungejua tabia yangu chooni sasa duhView attachment 1242678
Huku kwetu Kwamtogole kiti cha choo kikivunjika hakuna umuhimu wa kukibadilisha, choo kinabaki hivyo hivyo mradi kinafanya kazi.
Kiti cha choo kinakufanya ukae kwa raha ukiwa unatumia choo pia kwa sababu za ki afyawunashauriwa kufunika choo ukiachia mzigo uwende.
Tena mwenye nyumba anakuonyesha nyumba anayopangisha bila kuona kuwa choo kina kasoro.
Ungejua tabia yangu chooni sasa duh
Kwenye vyoo vya kukaa vya public kama hivi huwa sipendi kutumia hilo kalio(funiko la kukalia)
Huwa nachukua matishu nakausha kutazote za hilo sink then naanza kuzitandika juu kwa namna nitakayoridhika kwamba tako halitagusa hilo sink
Then ndo nakaa kwa kuinamia mbele ili mgongo usiguse hilo funiko ambalo huwa nyuma yangu ambalo licha ya kuepuka kuligusa lakini huwa nalo nimelifuta kikamilifu
Mengine ntakwambia tukiwa wawili ππ
Ustaarabu wa chooni ni mtihani wa usafi pia
Karibu tunye......
nimeshishwa na mwalimu ally darasa la 3Elimu ya wapi hii mkuu?
ππππKuna mkono kwa ndani huwa unapapasa nyeti za watu wazima[emoji23][emoji23]
Ungejua tabia yangu chooni sasa duh
Kwenye vyoo vya kukaa vya public kama hivi huwa sipendi kutumia hilo kalio(funiko la kukalia)
Huwa nachukua matishu nakausha kutazote za hilo sink then naanza kuzitandika juu kwa namna nitakayoridhika kwamba tako halitagusa hilo sink
Then ndo nakaa kwa kuinamia mbele ili mgongo usiguse hilo funiko ambalo huwa nyuma yangu ambalo licha ya kuepuka kuligusa lakini huwa nalo nimelifuta kikamilifu
Mengine ntakwambia tukiwa wawili [emoji56][emoji56]
Ustaarabu wa chooni ni mtihani wa usafi pia
Karibu tunye......
View attachment 1242678
Huku kwetu Kwamtogole kiti cha choo kikivunjika hakuna umuhimu wa kukibadilisha, choo kinabaki hivyo hivyo mradi kinafanya kazi.
Kiti cha choo kinakufanya ukae kwa raha ukiwa unatumia choo, pia kwa sababu za ki afya wunashauriwa kufunika choo ukiachia mzigo uwende.
Tena mwenye nyumba anakuonyesha nyumba anayopangisha bila kuona kuwa choo kina kasoro.
View attachment 1242688
Utamu wa kukata gogo, ukate ukiwa umechuchumaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha ya hicho kiti kukitumia mwenyewe,au kama una mke ,mkitumia pamoja
Dah...mnatuchanganya kwelikweli.......huyu anatushauri tukitoka chooni tunawe mikono.....mwingine anasema kiafya ni vizuri kunywa mkojo wako wa asubuhi......mtuhurumieπView attachment 1242678
Huku kwetu Kwamtogole kiti cha choo kikivunjika hakuna umuhimu wa kukibadilisha, choo kinabaki hivyo hivyo mradi kinafanya kazi.
Kiti cha choo kinakufanya ukae kwa raha ukiwa unatumia choo, pia kwa sababu za ki afya wunashauriwa kufunika choo ukiachia mzigo uwende.
Tena mwenye nyumba anakuonyesha nyumba anayopangisha bila kuona kuwa choo kina kasoro.
View attachment 1242688
Mbona yale maghorofa mnayojenga mnaweka vyoo vya kukaa?Dah...mnatuchanganya kwelikweli.......huyu anatushauri tukitoka chooni tunawe mikono.....mwingine anasema kiafya ni vizuri kunywa mkojo wako wa asubuhi......mtuhurumieπ
Alafu raha ya hicho kiti uwe umebanwaaa alafu ndo uingie ukikalie kwa raha zako unatamani uendekee kukaa tuu huko usitokeView attachment 1242678