Kiti cha choo ni muhimu si urembo

Hiko choo cha kukaa kilikuwa chuo, aisee hata kuingia nilikuwa siingii maana sivipendi kwa kwel hata nikiwa na kwangu siwezi weka hiyo kitu asilani, ingawaje kinasaidia kama utapata madhara kama kuvunjika mguu na kutoweza kuchuchumaa,ila raha ya kukata gogo,uchuchumae sio ukae
 
Alafu raha ya hicho kiti uwe umebanwaaa alafu ndo uingie ukikalie kwa raha zako unatamani uendekee kukaa tuu huko usitoke
Na choo kiwe kisafi pia, kama ume kaa unatazamana na tiles za cream lakini zilipaswa kuwa nyeupe au ule ukungu wa fungus kando ya sink wala haipendezi.
 
Raha ya choo ni cha shimo hata daktari akikuuliza rangi ya choo ukichopata huna jibu kwani hukukiona.
 
Muundo wa hicho kikalio ndio unatanua maeneo yako na kukufanya upate choo vizuri,kwahiyo bila ya hicho kikalio utapata choo lakini sio kwa mpangilio mzuri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…