Kiti cha Kikwete na miujiza yake

hizo overheads zote za nini sasa? Inakuwaje kama mtumishi wa umma akiwa na "matakwa/mahitaji" kama haya? Je atatengnezewa naye kiti na gari special?
Hivi, kazi hizi wanafanyaga medical exams kabla kuanza kazi kuthibitishi wako fiti?

Naogopa kusema bibi wa Msoga hachelewi kukupiga na mkia wa taa, wakubwa wanatibiwa India, sijui kina yakhe tunatibiwa wapi?
 
Hicho ni kiti cha rais wa tz.na hatenbei nacho.kila ikulu ndogo kipo,na siyo kila mkoa una ikulu ndogo.hivyo mikoa isiyo na ikulu ndiyo raisi analetewa kiti toka mkoa jirani wenye ikulu ndogo
 
Hicho ni kiti cha rais wa tz.na hatenbei nacho.kila ikulu ndogo kipo,na siyo kila mkoa una ikulu ndogo.hivyo mikoa isiyo na ikulu ndiyo raisi analetewa kiti toka mkoa jirani wenye ikulu ndogo

Mkuuu hujui ulisemalo.
Kiti hicho kinatangulia kila trip ya Rais hapa nchi,kina usafiri wake na mtu wa kukibeba.
Utata ulizuka siku alipoalikwa na maasikofu wao wameandaa kitu wanaletewa kiti kingine,tangu hapo maasikofu alitamani amalize na kuondoka na kauli yake ya kuwa viongozi wa deni wanauza unga wala awakuisikia wao waliwazaa juu ya kiti kile.
Mh haache ushirikina.
 
Hicho ni kiti cha rais wa tz.na hatenbei nacho.kila ikulu ndogo kipo,na siyo kila mkoa una ikulu ndogo.hivyo mikoa isiyo na ikulu ndiyo raisi analetewa kiti toka mkoa jirani wenye ikulu ndogo

Una uhakika na unayoyasema?
 
Hakika kunawatu ni mabukumun na thumun hv kwani kwa anko ben ilikuwaje mbona yalikuwa lkn hamkuyaona au ndio tunafundishwa kuona na walimu walioibuka leo wenye kujipaka sifa ya uzalendo na taifa lao kumbe ndani mwanyoyo zao wametanguliza dini zao na kabila zao..... Basi tufikie mahali tuwe tunaangalia vitu vyenye fact basi ina bore
 
Mzee Mkapa kilikuwa ni kiti special alipewa alipovunjika mguu, na alipopona akaacha kukitumia
 
Hicho ni kiti cha rais wa tz.na hatenbei nacho.kila ikulu ndogo kipo,na siyo kila mkoa una ikulu ndogo.hivyo mikoa isiyo na ikulu ndiyo raisi analetewa kiti toka mkoa jirani wenye ikulu ndogo

Wakati mwingine si busara kuchangia jambo usilolijua.
 
Akikalia kile hapopolewi, wala haanguki. Kimezindikwa na nyoka koboko
 
Nyerere, Mwinyi na Mkapa walikuwa hawasafiri na viti.
Niliwahi kudhani kuwa ni viti vinavyofanana, lakini katika katika mikutano fulani , Mbagala, Diamond Jubilei, Mwanza, Arusha na Iringa ndiyo nilihakikisha kuwa ni kiti kiti kile kile husafirishwa popote aendapo ndani ya nchini lakini si katika mikutano na marais wenzake.
 
Hicho ni kiti cha Rais wa Serikali ya Tz.Kama umechukia,pole!

Kwenye kiti hicho ndimo zilimo nguvu zake za kutawala bila hivyo angekwisha dondoka!! Kwa mkweree KITI na kwa Mussa kilikuwa KIFIMBO!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…