huenda usiku analala juu ya hichohicho kiti. Utumwa wa dhambi bwana
Dude that mzee naeSidhani kama ni kweli. Ina maana hata akifanya geographic expeditions ​zake uwa anakibeba?!
connected na nani??????????Ni utara ibu wa rais kutumia viti vya ikulu hata mkapa and many presidents do tha same
kama obama atatembea na gari yake everywhere kiti ni minor thngs
just security isues
jamani alikuwa anaogopa kupiga mweleka
huyo ndio bujbuj ukiona mwngne wakuchonga, nahc utakuwa unaongea kama MBWIGA au DULA kibajaj
Nimeota Kikwete kaokoka na amekivunja kiti chake, kikaaza kutiririsha damu. Ndoto ilikuwa ya kutisha sana
Nimeota Kikwete kaokoka na amekivunja kiti chake, kikaaza kutiririsha damu. Ndoto ilikuwa ya kutisha sana
huenda usiku analala juu ya hichohicho kiti. Utumwa wa dhambi bwana
Ni kweli mi mwenyewe nilishuhudia alipoenda kwenye ufunguzi wa upanuzi wa kiwanda cha saruji, Wazo. alipokuwa akiondoka mbebaji alikimbia nacho kidogo adondoke maana gari inayokibeba inakuwa mbele kwenye msafara. Uchawi mtupu.