Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ameishika pabaya ChademaMzee Halima Mdee
Anaweza akawa kayashika magego halafu anawaambia wa kwao kwamba anakula mnsuli wa mpopo!Ameishika pabaya Chadema
Hawa ndio wale 'ma-propesa' wanaoishi kwa kupiga magoti ili waishi!Amesema "Inaogopesha kuona njia pekee ya CHADEMA kutatua migogoro ya ndani ni kufukuzana. Duniani kote vyama vya upinzani vinaongoza kuwa na utamaduni wa kuvumiliana,kama Chadema wanatumia mabavu kiasi hiki kwa akina Halima Mdee wakiwa hawana dola, siku wakipewa dola itakuwaje"
Huyu ni profesa kilaza mmoja ambaye ameshindwa kuonyesha manufaa ya elimu yake akakimbilia kuchumia tumbo huko kwa watawala. Haishangazi!Mbunge wa Ubungo Kitila Mkumbo amekosoa hatua ya CHADEMA ya kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalumu walioteuliwa kwa tiketi ya chama hiko.
Amesema "Inaogopesha kuona njia pekee ya CHADEMA kutatua migogoro ya ndani ni kufukuzana. Duniani kote vyama vya upinzani vinaongoza kuwa na utamaduni wa kuvumiliana,kama Chadema wanatumia mabavu kiasi hiki kwa akina Halima Mdee wakiwa hawana dola, siku wakipewa dola itakuwaje"
Kuhusu kura ya wazi, Kitila amesema "Kura ya wazi/hadharani kwenye Demokrasia sio nzuri, na sio sahihi kwa chama kinachopigania Demokrasia hasa chama cha upinzani kama CHADEMA, ni kura inayokulazimisha mtu ufanye maamuzi ya "Group Thinking" Prof. Kitila Mkumbo
Bungeni anapigaje kura au democrasia ni kwa CHADEMA pekee?Anazungumziaje swala la kushutumiwa kufoji majina kuyapeleka NEC? mnaohoji hawa watu mnawaogopa?
Upo sahihi snHuyu ni profesa kilaza mmoja ambaye ameshindwa kuonyesha manufaa ya elimu yake akakimbilia kuchumia tumbo huko kwa watawala. Haishangazi!
Uhuni wa CHADEMA kutoa wafungwa magereza usiku na asubuhi kuwaingiza Bungeni na kuwaapisha. Si ndio?!Hivi hii ya kura ya wazi si ndio machadema walikuwa wanawacheka na kuwazodoa ccm?
Hii chama kimekuwa cha kihuni sana