macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Tanzania ina wasomi jina wengi sana, hasa ngazi ya Phd na uprofesa. Siku hiziwako wengi sana na kuficha udhaifu wao wanakimbilia kwenye siasa. Mitaani hawawezi ku-survive kwa sababu elimu yao ni feki na hawawezi kuhimili ushindani!Hawa ndio wale 'ma-propesa' wanaoishi kwa kupiga magoti ili waishi!
Unapokuwa na elimu kama hii halafu unaishi kwa unafiki na undumilakuwili ni kuidharaulisha taaluma!