Kitila Mkumbo awakosoa CHADEMA juu ya kuwafukuza wabunge wa viti maalum

Hawa ndio wale 'ma-propesa' wanaoishi kwa kupiga magoti ili waishi!
Unapokuwa na elimu kama hii halafu unaishi kwa unafiki na undumilakuwili ni kuidharaulisha taaluma!
Tanzania ina wasomi jina wengi sana, hasa ngazi ya Phd na uprofesa. Siku hiziwako wengi sana na kuficha udhaifu wao wanakimbilia kwenye siasa. Mitaani hawawezi ku-survive kwa sababu elimu yao ni feki na hawawezi kuhimili ushindani!
 
Alisikitika Member kuvuliwa uanachama wa ccm huyu mende ajiangalie na ubunge ndio basi tena
 
Kitila Mkumbo, kama muumini wa Demokrasia, ungeanza na Katiba, taratibu na Kanuni walizojiwekea CHADEMA inazungumza nini kuhusu usaliti. Halafu huruma ifuate. Vinginevyo kila mwanachama atafanya anavyotaka akijua chama hakina Mwongozo wowote unaoelekeza taratibu za uendeshaji na nidhamu/uadilifu ndani ya chama. Utakuwa ni uholela huo
 
Anatafuta uwaziri huyo chawa,na ajiandae kutafuta cha kufanya maana 2025 wale Ng'ombe wote waliokatwa mkia wenye CCM yao Og wanawatosa.
 
Swali nani alisain majina ya akina Halima Mzee kwenda kuapishwaa Bungeni?
 
Kula ya Wazi ilipopigwa Bungeni enzi za Maghufuri mbona hakusema kitu.?
 
Duh...!.
P
 

Hii imekuwa ni staili pendwa na sikumbuki kama yupo aliyewahi kurejea baada ya kufukuzwa.
 
Kweli kabisa
 
Mwingine huyu aliyeshiba akavimbiwa
 
Mwizi wa kura anapogeuka na yeye ati mtetezi wa huo uhuni. Kinamuuma sana ati kwa nini zilipigwa kura za wazi na si za siri.
 
Hawa ndio wale 'ma-propesa' wanaoishi kwa kupiga magoti ili waishi!
Unapokuwa na elimu kama hii halafu unaishi kwa unafiki na undumilakuwili ni kuidharaulisha taaluma!
Msiambiwe ukweli, mkiambiwa basi ni baya na msemaji ni mbaya. Lini mtakubali kukosolewa? Mlisema magufuli alikuwa hataki kukosolewa lakini naona ninyi CHADEMA ni zaidi ya hayati magufuli. Anaewakosoa basi huyo ni adui wenu.
 
"Kura ya wazi/hadharani kwenye Demokrasia sio nzuri, na sio sahihi kwa chama kinachopigania Demokrasia hasa chama cha upinzani kama CHADEMA, ni kura inayokulazimisha mtu ufanye maamuzi ya "Group Thinking" Prof. Kitila Mkumbo
Profesa njaa kali, mbona Mbungeni mnapitisha bajeti kwa kura za wazi ? Mbona CCM kwenye critical decisions wanatumia kura za wazi?
u profesa wako ni aje sheikh ?

Yaani argument yako kama Prof ipo low sana kiongozi.
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…