Kitila Mkumbo; NHC, NSSF, TBA, Watumishi Housing vipi?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
NHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.

Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.

Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
TBA nao wanajenga nyumba.

Hizi Taasisi haiwezekani ikapatikana Taasisi moja ikafanya hizo kazi Kwa ufanisi?.

Nashauri nyumba zote za nssf wapewe NHC serikali ilipe deni Kwa NSSF

Watumishi housing nayo waipe NHC, serikali ilipe deni.

NHC iwe public listed company dse serikali ibaki na hisa kidogo kama asilimia 40.

Hapo tutakuwa tumemaliza tatizo
 
Labda TBA na NHC ziunganishwe. Ila NSSF ni Mfuko wa bima Kwa watumishi. Hivyo, habari ya kujenga nyumba siyo jukumu lao la msingi Bali kama vitega uchumi Kwa ajili ya kukuza mitaji ya wateja wake ingawa wateja hawapati CHOCHOTE kutokana a uwekezaji huo.
 
VIwili vi
Nafikiri ni mashirika tofauti wanafanya biashara zinazo fanana!
 
Ndio maana nssf inatakiwa iachane na habari za kujenga nyumba na kupandisha, wawe wanawekeza kwenye bond za serikali.
 
Umefikiri kama kilaza aisee.

NSSF ni mfuko wa hifadhi za kijamii.

Ujenzi ni kama miradi tu ya kiuwekezaji.

Nhc ni shirika la nyumba la taifa kujenga na kuuza nyumba ndio wajibu wake.

TBA ni kama kampuni nyingine binafsi za ujenzi ila hii ni ya serikali.

Huwezi sema mashirika haya yaunganishwe ,

Haiwezi tokea kamwe.

Majukumu yao ya kimsingi hayafanani.
 
Wapi nimesema yaunganishwe?ukilaza ni pamoja na kutosoma vizuri na kuelewa
 
Issue sio taasisi ila kama biashara ni mortgage au Real Estate basi ifanye kampuni moja tu mfano NHC then wanaweza unda subsidiary company wakagawana hisa kati ya NHC na NSSF so hapo unaua TBA, Watumishi Housing sijui WCF.
 
Wapi nimesema yaunganishwe?ukilaza ni pamoja na kutosoma vizuri na kuelewa
Yani umeshauri upuuzi mtupu.
TBA ni professional agency wa mambo ya ujenzi
NHC ni wasimamizi wa nyumba za biashara za serikali
NSSF ni mfuko wa hifadhi ya jamii kwa sector binafsi. How possible waunganishwe?
 
Huyu jamaa sikuwahi jua ni kilaza namna hii.
 
Yani umeshauri upuuzi mtupu.
TBA ni professional agency wa mambo ya ujenzi
NHC ni wasimamizi wa nyumba za biashara za serikali
NSSF ni mfuko wa hifadhi ya jamii kwa sector binafsi. How possible waunganishwe?
Mazee hebu soma tena
Wapi nimesema waunganishwe?
Kusema miradi ya nyumba za nssf wapewe NHC ndo kusema waunganishwe?Neno kuunganishwa umelitoa wapi??
 
Juzi mwezi uliopita NSSF iliuza mradi wake wa nyumba kwa mwekezaji kwa tsh, bilioni 500, mradi ambao uligharimu tsh bilioni 300, Kwa maans hiyo faida ni tkribni bilioni 200! Hii miradi ya nyumba inaingiza faida!
 
Mleta mada hajasema NHC na NSSF ziungane, bali amesema NSSF iachane na biashara ya nyumba.
 
Watanzania wengi hawawezi ku think critically like you do. Nchi Ina shida ya elimu sijui tulikosea wapi yarabi!
 
Juzi mwezi uliopita NSSF iliuza mradi wake wa nyumba kwa mwekezaji kwa tsh, bilioni 500, mradi ambao uligharimu tsh bilioni 300, Kwa maans hiyo faida ni tkribni bilioni 200! Hii miradi ya nyumba inaingiza faida!
Humu kwenye Jukwaa la siasa atupendi hadithi za abunuwasi.

Mradi gani huo wa NSSF wa billion 500, kama unaongelea kigamboni ni tsh 1.3 trillion, bado ujazungumzia the cost of tying money in a delayed project returns.

Tafuta watu wakuongopea sio kwenye hili jukwaa.
 
Yani umeshauri upuuzi mtupu.
TBA ni professional agency wa mambo ya ujenzi
NHC ni wasimamizi wa nyumba za biashara za serikali
NSSF ni mfuko wa hifadhi ya jamii kwa sector binafsi. How possible waunganishwe?
Kwasababu wote wanajenga..!?🤗🤗🤗😇😇

Sijui lakini. Mtajijua
 
Watanzania wengi hawawezi ku think critically like you do. Nchi Ina shida ya elimu sijui tulikosea wapi yarabi!
Mimi na wengine ndani ya Tanzania are just normal people.

Isipokuwa kwenye hili jukwaa la siasa kumejaa walaghai na upotoshaji.

Personal naamini wengi ni waelevu hila wamejikita kwenye upotoshaji tu kwa maslahi yao.

Most are not sincere people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…