Kitila Mkumbo; NHC, NSSF, TBA, Watumishi Housing vipi?

Kitila Mkumbo; NHC, NSSF, TBA, Watumishi Housing vipi?

But then kama body ya mbolea inakwenda na assets kuunganisha nguvu na bank ya kilimo ambayo ina madeni.

Halafu hata hujui serikali ina recoup vipi investment zake za gharama ya mbolea ambayo imetumia zaidi ya 700 billion mwaka uliopita, hela ambazo zilitakiwa kuwa short term investment.

Takes a lot kumuona jinsi huyo Bashe anavyoifilisi serikali.

Halafu eti jamaa ana miakili kweli.

Wenye akili wapo wengi serikalini watu kama hakina Dorothy Gwajima, ila Bashe sio mmoja wapo. hana uwezo, amuoni tu hasara huyu fala anazoipa nchi.

Mweeh
 
But then kama body ya mbolea inakwenda na assets kuunganisha nguvu na bank ya kilimo ambayo ina madeni.

Halafu hata hujui serikali ina recoup vipi investment zake za gharama ya mbolea ambayo imetumia zaidi ya 700 billion mwaka uliopita, hela ambazo zilitakiwa kuwa short investment.

Takes a lot kumuona jinsi huyo Bashe anavyoifilisi serikali.

Halafu eti jamaa ana miakili kweli.

Wenye akili wapo wengi serikalini watu kama hakina Dorithy Gwajima, ila Bashe sio mmoja wapo. hana uwezo, amuoni tu hasara huyu fala anazoipa nchi.

Mweeh
Ndugu points hizi zote unazi dilute kwakumwita mtanzania mwenzako fala...Kwani ukiiweka bila Hilo neno inakuaje?
 
Ndugu points hizi zote unazi dilute kwakumwita mtanzania mwenzako fala...Kwani ukiiweka bila Hilo neno inakuaje?
Hakuna neno lingine linalofaa kwa mtu anaepeleka hasara serikalini.

This is what was supposed to happen in business perspective.

Jamani hee hii body ya mbolea na bank ya kilimo tunaunganisha (sawa hakuna shida) vipi hela ya walipa kodi au mkopo tuliokopea hela za mbolea zaidi ya tsh 700, to solve the issue.

We do consolidated accounting ya mtaji wa hiyo taasisi ya mbolea na bank ya kilimo (pembejeo as an acquired entity).

Lets treat assets za taasisi ya mbolea kama premium shares (as opposed to normal shares) ambapo serikali lazima ipate maokoto kadhaa (based on premium shares) ili kulipa deni la mkopo wa mbolea na baada ya miaka kadhaa mrudishe hiyo hela ili tulipe hilo deni kumpunguzia mtanzania kugharamia deni la taifa.

Budget ya miaka inayofuata za mbolea kuja huko zitakuwa na masharti yake hela ni za serikali japo zitapitia kwenu tunataka mzichukulie kama short loans. Charge small interest mpate faida il hela irudi ndani ya mwaka.

Sasa nenda kalete plan yoyote ya hela ya serikali kurudi kutoka bank ya kilimo. I guarantee you Hakuna kitu zaidi ya kutoa sadaka tu halafu wanawakamua walalahoi kodi kulipa madeni. Kwanini anaesababisha hizo hasara nisimwite fala tu anaechezea hela za walipa kodi.
 
NHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.

Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.

Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
TBA nao wanajenga nyumba.

Hizi Taasisi haiwezekani ikapatikana Taasisi moja ikafanya hizo kazi Kwa ufanisi?.

Nashauri nyumba zote za nssf wapewe NHC serikali ilipe deni Kwa NSSF

Watumishi housing nayo waipe NHC, serikali ilipe deni.

NHC iwe public listed company dse serikali ibaki na hisa kidogo kama asilimia 40.
Kuna ujinga mwingine TANROAD na TARURA, RUWASA na Mamlaka za maji mijini, TANESCO na REA ni mambo ya hovyo kabisa
 
Ukwasi ni financial term ambayo kimombo ni (liquidity shortafall), au kwa lugha nyepesi upungufu wa hela ya kuzungusha kila siku kwenye biashara.

It makes more sense kama umesoma masomo ya biashara, uchumi, finance or accounting (cash and cash equivalents on statement of financial position).
UKATA???
 
Ukwasi in English is "Liquidity" na sio "Liquidity shortfall " uliyoiongeza hapo and it is a term that simply means
urahisi wa mali au dhamana fulani, inaweza kubadilishwa kuwa pesa katika soko.
 
Hizo zote ni parallel institutions ambazo zinaongeza management costs...Kwani wataalamu wakiwa ni watekelezaji taaluma inagomba? Kama utaalamu upo kwenye education institutions...

Mimi kubwa nalotaka kujua ni kiini Cha hii reforms, ikiwa ni nje ya nchi, think twice...Hawa watu wanataka kutu align na strategy zao maana wanaenda kubadili governance structure ya Dunia na wanataka nasi tuendelee kuwa tegemezi.

Kama kawaida yetu, reforms zinafanywa na watu ambao hawafanyi research wala hawafanyi conceptualization ambayo inatakiwa kufanyiwa testing Ili kujua impacts zinatokea wapi and how can they mitigated? Namshangaa sana msimamizi wa haya kama ni Professor Kisha na yeye anaangukia kwenye hii trap bila kujali!

Impacts za hizi reforms zitatutesa for centuries zisipokuwa conceptualized, synthesized tested na ku forecast outcomes; itakuwa kama Structural Adjustment Programs ambazo zimetusababishia huu umasikini na ukosefu wa ajira Kwa vijana wetu...I pray for my country!

Kwa hili la kuunganisha Taasisi na kufuta baadhi nampongeza Kitila Mkumbo 100%

Kwa mfano, NIDA na RITA zinaonekana taasisi tofuati , ukweli ni taasisi moja yenye matawi kwasababu kazi zinategemeana sana. NIDA inategemea taarifa za uzazi na vifo

Taasisi za Maziwa ya ng'ombe na nyama kwanini ziwe mbili? n.k.

Somo kubwa limepatikana katika Katiba. Tunahitaji pia kupunguza ukubwa Serikali.

Hivi kwanini tuwe na RC, DC, RAS, DAS, DED , Wabunge katika mkoa mmoja.

Tunahitaji RC anayechaguliwa na Wananchi wa Mkoa husika, yeye atatengeneza admin structure kulingana na uchumi wa mkoa. Tunahitaji Mbunge mmoja kila Wilaya kwasababu Wilaya hizo zina DC mmoja kwa sasa.

Futa vyeo vya RAS, DC, DAS,, DED n.k
 
TBA na NHC zilitakiwa ziunganishwe sema Msechu kaona NHC watu wake wa zamani awaache
 
NHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.

Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.

Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
TBA nao wanajenga nyumba.

Hizi Taasisi haiwezekani ikapatikana Taasisi moja ikafanya hizo kazi Kwa ufanisi?.

Nashauri nyumba zote za nssf wapewe NHC serikali ilipe deni Kwa NSSF

Watumishi housing nayo waipe NHC, serikali ilipe deni.

NHC iwe public listed company dse serikali ibaki na hisa kidogo kama asilimia 40.

Hapo tutakuwa tumemaliza tatizo
Sasa hivi hapa nchini kila mjadala asilimia kubwa ya wachangìaji watamtukana mtoa mada kabla ya kutoa michango yao.

Kwenye uzi huu wachangiaji kumi tayari wameshamtukana mtoa mada for no reason.
 
Ukwasi in English is "Liquidity" na sio "Liquidity shortfall " uliyoiongeza hapo and it is a term that simply means
urahisi wa mali au dhamana fulani, inaweza kubadilishwa kuwa pesa katika soko.
Liquidity ni akiba ya hela iliyopo kwenye mzunguko wa kila siku katika biashara (sasa sijui msamiati wake kwa kiswahili).

Liquidity shortfall au ukwasi (is vice, versa) ni upungufu wa akiba katika matumizi ya kila siku ya kibiashara hivyo ndio CAG anavyomaanisha ukisoma report yake na following statements.

Don’t google elewa accounts/finance or business management.

Sio mambo ya kujiropokea tu.

2AFAF183-6A99-4A0E-8C15-1B3051D13F69.jpeg

Pia SUMATRA,LATRA na EWURA zikiungwa tukawa na regulatory authority moja itafaa sana
SUMATRA kwa sasa haipo ilibadilishwa ndio ikawa LATRA (Mambo ya meli yalienda TASAC)
EWURA ni Energy and water utility regulatory authority inahusika na kupanga bei za nishati na maji na kuregulate pia miongoni mwa kazi zingine
Hao LATRA wanadili na kuregulate huduma za usafiri wa ardhini, sasa hapa sioni kama hizi taasisi mbili zinafanana kimajukumu.
 
NHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.

Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.

Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
TBA nao wanajenga nyumba.

Hizi Taasisi haiwezekani ikapatikana Taasisi moja ikafanya hizo kazi Kwa ufanisi?.

Nashauri nyumba zote za nssf wapewe NHC serikali ilipe deni Kwa NSSF

Watumishi housing nayo waipe NHC, serikali ilipe deni.

NHC iwe public listed company dse serikali ibaki na hisa kidogo kama asilimia 40.

Hapo tutakuwa tumemaliza tatizo
Naunga mkono hoja , Hatuwezi kuwa na Utitiri wa vishirika vya kujenga harafu Kila Kimoja Kiko kivyake.

Hapo tubakie na NHC tuu,TBA ifutwe na majukumu yake yahamie kule Suma JKT.

Kiufupi kwenye sekta ya Nyumba Kwa Umma tuwe na Suma JKT na NHC
 
Nahisi kuna watu Wana stress Sana basi Tu ..mtu hata hasomi vizuri anaanza kumshambulia mtu
Kwenye social media platforms zote hakuna tena constructive criticisms.

Watu wanatukana tu halafu kibaya zaidi mtu mzima unakuta anatukanwa na vitoto vya first year chuo.
 
Back
Top Bottom