Kitila Mkumbo; NHC, NSSF, TBA, Watumishi Housing vipi?

Neno "UKWASI " ulilolitumia kwenye maelezo yako kuelezea Ukwasi wa NSSF, NHC umemaanisha nini labda?
 
Utajiri kwenye vinchi useless Kama TZ haupatikani kwa merits na juhudi.
 

Attachments

  • IMG_20230716_105321.jpg
    55.6 KB · Views: 2
  • IMG_20230611_164132.jpg
    10.4 KB · Views: 2
NSSF ni mfuko wa hifadhi za kijamii.

Ujenzi ni kama miradi tu ya kiuwekezaji.
Yeah sio lazima wafanye wao wanaweza kupewa 50% shares za NHC kwenye real estate business kupitia subsidiary. So pesa zinawekezwa huko wao wabaki kwenye kumanage mfuko huku mapato yakitoka kwenye faida za subsidiary.
Nhc ni shirika la nyumba la taifa kujenga na kuuza nyumba ndio wajibu wake.

TBA ni kama kampuni nyingine binafsi za ujenzi ila hii ni ya serikali.
Kumbe zote zinajenga? TBA inaweza kuwa subsidiary tu ya NHC au department sio lazima iwe stand alone na bodi yake.
Huwezi sema mashirika haya yaunganishwe ,

Haiwezi tokea kamwe.
Acha kukariri mbona NIDA na RITA zimekua merged. Kuwa na taasisi nyingi ndio urasimu unaanzia hapo imagine una ID ya WCF, NSSF, WHC, wakati shughuli zina overlap.
 
Neno "UKWASI " ulilolitumia kwenye maelezo yako kuelezea Ukwasi wa NSSF, NHC umemaanisha nini labda?
Ukwasi ni financial term ambayo kimombo ni (liquidity shortafall), au kwa lugha nyepesi upungufu wa hela ya kuzungusha kila siku kwenye biashara.

It makes more sense kama umesoma masomo ya biashara, uchumi, finance or accounting (cash and cash equivalents on statement of financial position).
 
Yani umeshauri upuuzi mtupu.
TBA ni professional agency wa mambo ya ujenzi
NHC ni wasimamizi wa nyumba za biashara za serikali
NSSF ni mfuko wa hifadhi ya jamii kwa sector binafsi. How possible waunganishwe?
Anakimbia ushauri wake tena![emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huu ushauri umetoka kwako au?
Mbona hizo taasisi ni tofauti kabisa?
Umenichekesha unaposema serikali ilipe madeni ya NSSF hivi unajua hadi sasa wanaendelea kuyalipa na watu walishakula hela? Halafu NSSF ni shirika la bima labda ushauri lijikite kufanya kazi yake liachane na mambo ya real estate!

TBA ibaki hivyo hivyo maana inafanya kazi tofauti na hao ukiachana na mambo ya ujenzi wao ni wataalam kabisa kuhusu ujenzi na real estate

Watumishi Housing labda tuangalie inafanya nini zaidi tofauti na NHC natujue lengo la kuianzisha kabla ya kuifuta au kuiunganisha… maana hawa watu wamekopa sana na serikali haiwezi kuingia gharama kubeba mizigo yao…
 
Hahahaha huyu hajui kitu …kiufupi mradi ule umeuzwa kwa bei ya kutupwa na tumepata hasara kubwa sana ..ule mradi ni hasara tupu kuanzia viwanja na kila kitu sasa serikali imeona kuutupa na kuamua kupata hasara…ule mradi auwezi kuwa na thamani ya billion 500 vile ni vichekesho tuu na uzuri tulihadili sana sana humu kuhusu vichekesho vile..
 
Na ukata ni nini?
 
Licha ya utata wa ushauri wako,
Ila hilo la kulist NHC katika soko la hisa ni bonge la idea,
NHC ijiendeshe kibiashara, serikali ibaki na hisa kama 40% tu, kwa ajiili ya kulinda public interest ila kampuni liwe kibiashara zaidi, nadhani hii italeta ufanisi
 
Ni aina ya watu ambao hawajui hasara za capital loss ya huo mradi kuuzwa bei chee; let the loss of ‘future value’ (inflation of capital invested) if you add everyone thr loss is almost 3 trillions.

Kwa upande wa serikali walichopata (in salvage) ni bora kuliko kukosa kabisa. But that depends on the quality of their financial advisers given the facts.
 
Post of 2023

Hii ndiyo direction tunayoitaka
 
Umechanganya Mkuu. "Ukwasi" ni Utajiri. Nafikiri kwenye maelezo yako ungetumia neno "Ukata".

Pili mbona mnamshambulia mtoa mada badala ya hoja zake??
 
Umechanganya Mkuu. "Ukwasi" ni Utajiri. Nafikiri kwenye maelezo yako ungetumia neno "Ukata".

Pili mbona mnamshambulia mtoa mada badala ya hoja zake??
Ukisoma report za CAG neno ukwasi ni la ‘auditing’ linalo maanisha ‘liquidity shortfall’.

Mtaani mmeelewa vingine tu maana ya ukwasi.

But then I don’t claim to be a ‘swahili’ linguist, I am open to be educated on the actual definition
 
Umechanganya Mkuu. "Ukwasi" ni Utajiri. Nafikiri kwenye maelezo yako ungetumia neno "Ukata".

Pili mbona mnamshambulia mtoa mada badala ya hoja zake??
Ndio maana watu wengi report ya CAG inawapiga chenga anapotumia neno ukwasi ‘maana yake ni kwamba kuna upungufu kwenye hela ya mzunguko’

Huyo jamaa achana nae mapendekezo yake ni zero kwa sababu luluki, kitu pekee kinacho make sense ni serikali kuweka hela kwanza (hela ambazo itabidi wakope) hili ya mashirika yaungane, au wananchi wanunue very risky investments kutokana na madeni ya hayo mashirika.

Kuna utaratibu wa kulipa fidia, ndio maana madeni yanakatwa baada ya faida, halafu kodi ya serikali, halafu (ambayo management inaamua kama inaweza lipa au kwenye shareholders meeting) that is kama hiyo faida yenyewe.

Anaongea tu kama vile rahisi, hayo mambo yanataka uone vitabu vya wahusika wote kwanza.
 
Hizo zote ni parallel institutions ambazo zinaongeza management costs...Kwani wataalamu wakiwa ni watekelezaji taaluma inagomba? Kama utaalamu upo kwenye education institutions...

Mimi kubwa nalotaka kujua ni kiini Cha hii reforms, ikiwa ni nje ya nchi, think twice...Hawa watu wanataka kutu align na strategy zao maana wanaenda kubadili governance structure ya Dunia na wanataka nasi tuendelee kuwa tegemezi.

Kama kawaida yetu, reforms zinafanywa na watu ambao hawafanyi research wala hawafanyi conceptualization ambayo inatakiwa kufanyiwa testing Ili kujua impacts zinatokea wapi and how can they mitigated? Namshangaa sana msimamizi wa haya kama ni Professor Kisha na yeye anaangukia kwenye hii trap bila kujali!

Impacts za hizi reforms zitatutesa for centuries zisipokuwa conceptualized, synthesized tested na ku forecast outcomes; itakuwa kama Structural Adjustment Programs ambazo zimetusababishia huu umasikini na ukosefu wa ajira Kwa vijana wetu...I pray for my country!
 
Unapenda monopoly eti? Ni kama umependa sana Tanesco pekee ndo iweke umeme nchi nzima na ubabaishaji wake wote. Ni vizuri kuwe na competition ili kuboresha mazingira ya ufanisi.
 
Unapenda monopoly eti? Ni kama umependa sana Tanesco pekee ndo iweke umeme nchi nzima na ubabaishaji wake wote. Ni vizuri kuwe na competition ili kuboresha mazingira ya ufanisi.
Mpaka hapo hizo ni monopolies maana zinalindwa na sheria ya mashirika ya umma na hayapo kwenye market yaji operate Ili yakiwa outcompeted yaondoke kwenye market....Tanzanians think think, Kuna mambo tinayaendekeza bila kujua. Kama yanafaida mbona yameshindwa kuleta welfare Kwa watanzania wengi? Mpaka Leo Kila mtanzania anajijengea nyumba bila standard wala kuwa katika maeneo yaliyopimwa? Hii tu Inaongea jinsi hayo mashirika yanavyo operate kwenye inefficiency ya hali ya juu given the fact ni public institutions zinazolipiwa na Kila jasho la mtanzania kupitia Kodi...Ni mchwa tu hazileti tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…