Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ndugu points hizi zote unazi dilute kwakumwita mtanzania mwenzako fala...Kwani ukiiweka bila Hilo neno inakuaje?But then kama body ya mbolea inakwenda na assets kuunganisha nguvu na bank ya kilimo ambayo ina madeni.
Halafu hata hujui serikali ina recoup vipi investment zake za gharama ya mbolea ambayo imetumia zaidi ya 700 billion mwaka uliopita, hela ambazo zilitakiwa kuwa short investment.
Takes a lot kumuona jinsi huyo Bashe anavyoifilisi serikali.
Halafu eti jamaa ana miakili kweli.
Wenye akili wapo wengi serikalini watu kama hakina Dorithy Gwajima, ila Bashe sio mmoja wapo. hana uwezo, amuoni tu hasara huyu fala anazoipa nchi.
Mweeh
Hakuna neno lingine linalofaa kwa mtu anaepeleka hasara serikalini.Ndugu points hizi zote unazi dilute kwakumwita mtanzania mwenzako fala...Kwani ukiiweka bila Hilo neno inakuaje?
Kuna ujinga mwingine TANROAD na TARURA, RUWASA na Mamlaka za maji mijini, TANESCO na REA ni mambo ya hovyo kabisaNHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
TBA nao wanajenga nyumba.
Hizi Taasisi haiwezekani ikapatikana Taasisi moja ikafanya hizo kazi Kwa ufanisi?.
Nashauri nyumba zote za nssf wapewe NHC serikali ilipe deni Kwa NSSF
Watumishi housing nayo waipe NHC, serikali ilipe deni.
NHC iwe public listed company dse serikali ibaki na hisa kidogo kama asilimia 40.
UKATA???Ukwasi ni financial term ambayo kimombo ni (liquidity shortafall), au kwa lugha nyepesi upungufu wa hela ya kuzungusha kila siku kwenye biashara.
It makes more sense kama umesoma masomo ya biashara, uchumi, finance or accounting (cash and cash equivalents on statement of financial position).
Amesoma ili akujibu hakutafakari vyema hoja yako ya msingi.Wapi nimesema yaunganishwe?ukilaza ni pamoja na kutosoma vizuri na kuelewa
Ukwasi in English is "Liquidity" na sio "Liquidity shortfall " uliyoiongeza hapo and it is a term that simply meansUkwasi ni financial term ambayo kimombo ni (liquidity shortafall), au kwa lugha nyepesi upungufu wa hela ya kuzungusha kila siku kwenye biashara.
It makes more sense kama umesoma masomo ya biashara, uchumi, finance or accounting (cash and cash equivalents on statement of financial position).
Hizo zote ni parallel institutions ambazo zinaongeza management costs...Kwani wataalamu wakiwa ni watekelezaji taaluma inagomba? Kama utaalamu upo kwenye education institutions...
Mimi kubwa nalotaka kujua ni kiini Cha hii reforms, ikiwa ni nje ya nchi, think twice...Hawa watu wanataka kutu align na strategy zao maana wanaenda kubadili governance structure ya Dunia na wanataka nasi tuendelee kuwa tegemezi.
Kama kawaida yetu, reforms zinafanywa na watu ambao hawafanyi research wala hawafanyi conceptualization ambayo inatakiwa kufanyiwa testing Ili kujua impacts zinatokea wapi and how can they mitigated? Namshangaa sana msimamizi wa haya kama ni Professor Kisha na yeye anaangukia kwenye hii trap bila kujali!
Impacts za hizi reforms zitatutesa for centuries zisipokuwa conceptualized, synthesized tested na ku forecast outcomes; itakuwa kama Structural Adjustment Programs ambazo zimetusababishia huu umasikini na ukosefu wa ajira Kwa vijana wetu...I pray for my country!
Sasa hivi hapa nchini kila mjadala asilimia kubwa ya wachangìaji watamtukana mtoa mada kabla ya kutoa michango yao.NHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
TBA nao wanajenga nyumba.
Hizi Taasisi haiwezekani ikapatikana Taasisi moja ikafanya hizo kazi Kwa ufanisi?.
Nashauri nyumba zote za nssf wapewe NHC serikali ilipe deni Kwa NSSF
Watumishi housing nayo waipe NHC, serikali ilipe deni.
NHC iwe public listed company dse serikali ibaki na hisa kidogo kama asilimia 40.
Hapo tutakuwa tumemaliza tatizo
Nahisi kuna watu Wana stress Sana basi Tu ..mtu hata hasomi vizuri anaanza kumshambulia mtuSasa hivi hapa nchini kila mjadala asilimia kubwa ya wachangìaji watamtukana mtoa mada kabla ya kutoa michango yao.
Kwenye uzi huu wachangiaji kumi tayari wameshamtukana mtoa mada for no reason.
Liquidity ni akiba ya hela iliyopo kwenye mzunguko wa kila siku katika biashara (sasa sijui msamiati wake kwa kiswahili).Ukwasi in English is "Liquidity" na sio "Liquidity shortfall " uliyoiongeza hapo and it is a term that simply means
urahisi wa mali au dhamana fulani, inaweza kubadilishwa kuwa pesa katika soko.
SUMATRA kwa sasa haipo ilibadilishwa ndio ikawa LATRA (Mambo ya meli yalienda TASAC)Pia SUMATRA,LATRA na EWURA zikiungwa tukawa na regulatory authority moja itafaa sana
Siku hizi ni wale wanaojiita chawa wa Samia. Ameipigania sana DP WorldNdiyo nchi yetu hiyo.
Kwa post zake and his confidence, I have no reason to doubt he is well off.
Ndio mijitu inayonufaika kutokana na connection walizokamata serikalini.
Hila kuna wasaa anaandika ujinga, mpaka dah.
Naunga mkono hoja , Hatuwezi kuwa na Utitiri wa vishirika vya kujenga harafu Kila Kimoja Kiko kivyake.NHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
TBA nao wanajenga nyumba.
Hizi Taasisi haiwezekani ikapatikana Taasisi moja ikafanya hizo kazi Kwa ufanisi?.
Nashauri nyumba zote za nssf wapewe NHC serikali ilipe deni Kwa NSSF
Watumishi housing nayo waipe NHC, serikali ilipe deni.
NHC iwe public listed company dse serikali ibaki na hisa kidogo kama asilimia 40.
Hapo tutakuwa tumemaliza tatizo
Kwenye social media platforms zote hakuna tena constructive criticisms.Nahisi kuna watu Wana stress Sana basi Tu ..mtu hata hasomi vizuri anaanza kumshambulia mtu