We ni mbumbu kufikiri utawagombanisha wanachadema kwa kuandika hivi! Nadhani kama ungesoma makala ya
Kitila Mkumbo vyema usinge sema hivi!
Lakini ni kawaida yako kutoelewa!
Hivi ujui hata
Zitto alishasema ilibidi wahusika wa step a side? Kitila mkumbo amejaribu kwenda mbali zaidi kuonesha kuwa kujiuzulu haliwezi likawa suluhu pekee ya tatizo bali ni hatua tuu! Ameonesha kuna mambo yanabidi yafanyike pia si kujiuzulu tuu! Sasa nyie wapotoshaji kama kawaida yenu mmedandia train mkifikiri uchonganishi unaweza ukawa suluhu ya zero zile miambili elfu!
Hivi mnadhani tume yenu ndio itakuwa suluhu? Ni tume ngapi mmekuwa mkiunda kila leo?
Yani serikali dhaifu imeshindwa kujua sababu za kufail kwa watoto wakati mnajua fika!
.Mashuleni hakuna vitabu
.mashule hayana maabara
.mashule hayana walimu wakutosha
:mlifuta mtihani wa kidato cha pili
:mkashusha marks za kwenda sekondary na sasa wanaenda hata wenye chini ya 100 out of 250.
; walimu hamtaki kusikiliza madai yao.
;
Alaf pamoja na haya yote mnatwambia mme unda tume kuchunguza, mnchunguza nini?
Kwa nini msiseme wazi hii ni tume ya kuwalinda wa kina kawamba na mlugo na kuhakisha mnaisulubu necta hasa ndalichako?
Serikali ya ccm ilijenga shule za kata kupata umaarufu wa kisiasa si kuwapatia elimu bora watanzani na hii imeonekana dhahiri ndio maana viogozi wa kisiasa hawataki kuwajibika na hamko tayari!
Heti sisiemu haiamini kama watoto wame fail bali wamefelishwa na ukisikiliza au kusoma hotuba ya jk utakubali kuwa sisiemu wana amini necta wamewafelisha watoto na suluhu ni kufa na mtu kupitia tume hili kujisafisha kisiasa!
Time will tell
Mbowe, Slaa na Godbless Lema akilini mwao wanadhani kila kitu kinatatuliwa kwa maandamano tu. Kitila na Zitto wanajaribu kuwapa some senses.