Kitila Mkumbo wa CHADEMA na suala la elimu

Kitila Mkumbo wa CHADEMA na suala la elimu

Enkima

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
189
Reaction score
52
Wana jamvi kwa msaada wenu hebu tusaidiane hapa, juzi nimesoma gazeti la raia mwema makala ya kitila mkumbo mbona huyu jamaa anaenda kinyume na chama chake kwa sababu wakati bavicha na chadema chenyewe vikitaka waziri wa elimu mh shukuru kawambwa na naibu wake wakitakiwa kujiuzulu yeye kapinga na kudai kuwa sio suluhisho japokuwa hata naibu wake zito kabwe kutoa ufafanuzi kuwa hawa jamaa wa wiyara ya elimu wanaweza kuwa awahusiki moja kwa moja lakini kunatakiwa kufanyike jambo flani ili kuonyesha kuwa kuna tatizo katika sekta hii na jambo hilo ni kwa hawa jamaa kujiuzulu, sasa ina maana huyu jamaa ajaelewa hili au mi ndio sijamuelewa
 
Kitila mkumbo haendi kinyume na CDM, nadhani hukuelewa mantiki ya makala yake. Alisema si elimu tu imefeli bali ni seketa zote hivyo si Kawambwa tu anatakiwa kujiuzulu. Kwa Kitala kumtoa Kawambwa peke yake ni kumuonea. Nadhani alikuwa anapendekeza kutoa serikali yote kwa kumuondoa bosi wao. Hivyo Kitila apingi chama bali angependa makubwa zaidi yafanyike.
 
Mbowe, Slaa na Godbless Lema akilini mwao wanadhani kila kitu kinatatuliwa kwa maandamano tu. Kitila na Zitto wanajaribu kuwapa some senses.
 
Wana jamvi kwa msaada wenu hebu tusaidiane hapa, juzi nimesoma gazeti la raia mwema makala ya kitila mkumbo mbona huyu jamaa anaenda kinyume na chama chake kwa sababu wakati bavicha na chadema chenyewe vikitaka waziri wa elimu mh shukuru kawambwa na naibu wake wakitakiwa kujiuzulu yeye kapinga na kudai kuwa sio suluhisho japokuwa hata naibu wake zito kabwe kutoa ufafanuzi kuwa hawa jamaa wa wiyara ya elimu wanaweza kuwa awahusiki moja kwa moja lakini kunatakiwa kufanyike jambo flani ili kuonyesha kuwa kuna tatizo katika sekta hii na jambo hilo ni kwa hawa jamaa kujiuzulu, sasa ina maana huyu jamaa ajaelewa hili au mi ndio
sijamuelewa

Nafikiri wewe utakuwa hujamuelewa huyu jamaa,Kwa upeo wangu mimi nilivyoelewa ni kwamba kujiuzulu peke yake haitoshi! Kawambwa na mukugo wanaweza kujiuzulu lakini bado mfumo wetu mbovu tulionao ukawa unaendeleza matatizo yaleyale! hivyo pamoja na kujiuzulu hawa mawaziri turekebishe pia mfumo wetu katika elimu na seikali yote kwa ujumla...........
 
Mbowe, Slaa na Godbless Lema akilini mwao wanadhani kila kitu kinatatuliwa kwa maandamano tu. Kitila na Zitto wanajaribu kuwapa some senses.
Ulishashindwa devide and rule laana weye utampa somo nani ambalo wewe mwenyewe umeshindwa kujisomesha ,aibu mwenzetu uliuza wapi, unakurupuka tuu, ha ha ha mwaka huu litakuchweya umeona huko Mbeya + duh watu munajikweza wengi tunaona hiyo ni non sense''' wewe wakati huna hili na lile kila wakati katika moja unajikoroga katika kila nyanja hovyooo kuona wenzio wako chini we ndio una akili why dont you quit tujue moja

Katika majumuisho mada ya Kitila ni kwamba serikali yote inapaswa kuondoka manake is a failed state
 
Sidhani kama ni dhambi kwa mwalimu wangu Kitila Mkumbo kuwa na mawazo tofauti. Hii sio sera ya chama ambayo kila mtu analazimika kuifuata. Hata mimi binafsi sioni mantiki ya kumwamba kawambwa wakati inajulikana waliochakachua ni mungai na kina magembe walioruhusu watoto wapite bila kuchujwa form II nk,nk,nk....
 
Last edited by a moderator:
Nadhani hukumuelewa dr, alichosema kila seta imefaili, Mfano ni asilimilia ngapi ya watanzania wanapata umeme, Kama ni 18 maana yake TAnesco wamefaili kwa asilimilia 82 hivyo kwa kila idara/wizara. Russia kusoma. Utaelewa
 
Wewe hujamuelewa Mkumbo kaka.

Wana jamvi kwa msaada wenu hebu tusaidiane hapa, juzi nimesoma gazeti la raia mwema makala ya kitila mkumbo mbona huyu jamaa anaenda kinyume na chama chake kwa sababu wakati bavicha na chadema chenyewe vikitaka waziri wa elimu mh shukuru kawambwa na naibu wake wakitakiwa kujiuzulu yeye kapinga na kudai kuwa sio suluhisho japokuwa hata naibu wake zito kabwe kutoa ufafanuzi kuwa hawa jamaa wa wiyara ya elimu wanaweza kuwa awahusiki moja kwa moja lakini kunatakiwa kufanyike jambo flani ili kuonyesha kuwa kuna tatizo katika sekta hii na jambo hilo ni kwa hawa jamaa kujiuzulu, sasa ina maana huyu jamaa ajaelewa hili au mi ndio sijamuelewa
 
Sidhani kama ni dhambi kwa mwalimu wangu Kitila Mkumbo kuwa na mawazo tofauti. Hii sio sera ya chama ambayo kila mtu analazimika kuifuata. Hata mimi binafsi sioni mantiki ya kumwamba kawambwa wakati inajulikana waliochakachua ni mungai na kina magembe walioruhusu watoto wapite bila kuchujwa form II nk,nk,nk....

hata wewe hujaelewa,kitila anasema wizara zote zimefail so kinachohitajika ni kuondoa gov't yote na si kawambwa na mlugo tu,soma vizuri afu urudi tena.
 
Last edited by a moderator:
We ni mbumbu kufikiri utawagombanisha wanachadema kwa kuandika hivi! Nadhani kama ungesoma makala ya Kitila Mkumbo vyema usinge sema hivi!
Lakini ni kawaida yako kutoelewa!

Hivi ujui hata Zitto alishasema ilibidi wahusika wa step a side? Kitila mkumbo amejaribu kwenda mbali zaidi kuonesha kuwa kujiuzulu haliwezi likawa suluhu pekee ya tatizo bali ni hatua tuu! Ameonesha kuna mambo yanabidi yafanyike pia si kujiuzulu tuu! Sasa nyie wapotoshaji kama kawaida yenu mmedandia train mkifikiri uchonganishi unaweza ukawa suluhu ya zero zile miambili elfu!

Hivi mnadhani tume yenu ndio itakuwa suluhu? Ni tume ngapi mmekuwa mkiunda kila leo?

Yani serikali dhaifu imeshindwa kujua sababu za kufail kwa watoto wakati mnajua fika!
.Mashuleni hakuna vitabu
.mashule hayana maabara
.mashule hayana walimu wakutosha
:mlifuta mtihani wa kidato cha pili
:mkashusha marks za kwenda sekondary na sasa wanaenda hata wenye chini ya 100 out of 250.
; walimu hamtaki kusikiliza madai yao.
;
Alaf pamoja na haya yote mnatwambia mme unda tume kuchunguza, mnchunguza nini?
Kwa nini msiseme wazi hii ni tume ya kuwalinda wa kina kawamba na mlugo na kuhakisha mnaisulubu necta hasa ndalichako?

Serikali ya ccm ilijenga shule za kata kupata umaarufu wa kisiasa si kuwapatia elimu bora watanzani na hii imeonekana dhahiri ndio maana viogozi wa kisiasa hawataki kuwajibika na hamko tayari!

Heti sisiemu haiamini kama watoto wame fail bali wamefelishwa na ukisikiliza au kusoma hotuba ya jk utakubali kuwa sisiemu wana amini necta wamewafelisha watoto na suluhu ni kufa na mtu kupitia tume hili kujisafisha kisiasa!

Time will tell
Mbowe, Slaa na Godbless Lema akilini mwao wanadhani kila kitu kinatatuliwa kwa maandamano tu. Kitila na Zitto wanajaribu kuwapa some senses.
 
Last edited by a moderator:
hata wewe hujaelewa,kitila anasema wizara zote zimefail so kinachohitajika ni kuondoa gov't yote na si kawambwa na mlugo tu,soma vizuri afu urudi tena.

wewe pia hujanielewa. Nilichokuwa nahoji hapo ni kama kutofautiana na chama chako kwenye issue ya ama tuandamane au tusiandamane sidhani kama ni dhambi. Swala la kutofautiana na Mkumbo hata mimi naweza kutofautiana naye katika hili pia. Huo ndio muktadha wa hoja yangu. Na ukiona mnakubaliana jambo bila kuwa na wenye mawazo tofauti juwa kuwa nchi, familia taasisi au chama hicho kinaelekea shimoni.

Kwangu mimi swala la kuandamana eti watu wajiuzulu halina tija wala sioni kama ni suluhisho. Japo naweza kuwa CDM tayari nimetofautiana na viongozi wangu na pia sitaandamana kwani sioni kama kuna tija katika context iliyopo. Hata wakiandamana nakuhakikishia hakuna kiongozi anayeweza kujiuzulu eti watu wameandamana. Sana sana wataishia kupoteza viungo vya miili yao na sifuri iko pale pale. Kama ni political strategy hii haijakaa sawa.

Pili, kuwashupalia waliopo wizarani bila kufanya tafakuri ya kina kuhusu waliosababisha massive failure ya namna hii ambayo kwangu ni bomu lililotengenezwa kwa karibu miaka 10 iliyopita hapo sioni kama ni sawa.
Sisemi kama hawana mchango la hasha...wangalikuwa viongozi bora wangaliliona hili na kulifanyia kazi mapema ila kwanini wao peke yao?

Tuangalie tulipojikwaa sio kulaumu eti tumeumia kwasababu tulipoangukia pana miba, chupa kokoto nk...chanzo kilikuwa ni kile kilichosababisha tukajikwaa.
 
Msimamo wa chama haumzuii mtu binafsi kufikiri. We think as a individuals and act as a group dude!!!!
 
Back
Top Bottom