Kitila: Tutaanza kuwapima Wakuu wa Mikoa katika kuvutia uwekezaji na kulinda biashara

Kitila: Tutaanza kuwapima Wakuu wa Mikoa katika kuvutia uwekezaji na kulinda biashara

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Kitila Mkumbo, amesema Serikali inapanga kuanza kupima utendaji wa kila mkoa kulingana na uwezo wake wa kuwezesha biashara na kuvutia uwekezaji.

Akizungumza katika Mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa Pili wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji Mkumbi II jijini Dodoma.

Amesema hatua hiyo inalenga kuongeza uwajibikaji kwa viongozi wa ngazi za mikoa na wilaya ili kuhakikisha wanachukua nafasi kubwa katika kukuza mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji.

 
Back
Top Bottom