Kitimoto cha makambakao ni noma saanaaaa!

Kitimoto cha makambakao ni noma saanaaaa!

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Nimekula huyu mdudu noah old model sehemu nyingi hapa tz ila leo nimetafuna huyu mdudu hapa ni mtamu balaa! Ndizi pembeni,novida na kachumbari. Ashukuriwe muumba kwa kutuletea huyu kiumbe. Na naomba dini zote zipige marufuku kitmoto ili bei ishuke!
 
...dah kiongozi hiyo kitu ni noma,niliwahi kuila mitaa ya tukuyu mpaka nikatia akili. Waandaaji wa dar/mijini sijui mafuta ya transfoma ?maana mdudu anapoteza ladha kbsaaa...!
 
Mkuu #gefu ,dar na mwanza hawamtendei haki huyu mdudu mtakatifu!! Hapa nimebakiza vipande vi3 nikishtuka usiku ninavyo! Nimeacha dirsha wazi ili kaupepo kaingie vizuri karegulate hili tumbo. Kitimoto umebarikiwa kuliko viumbe vyote hapa duniani.
 
mimi niliacha kula baada ya kusikia wanawapa dawa za ukimwi kusudi wakue haraka
 
Nimekula huyu mdudu noah old model sehemu nyingi hapa tz ila leo nimetafuna huyu mdudu hapa ni mtamu balaa! Ndizi pembeni,novida na kachumbari. Ashukuriwe muumba kwa kutuletea huyu kiumbe. Na naomba dini zote zipige marufuku kitmoto ili bei ishuke!

DSC00055.JPG
 
Back
Top Bottom