Kitimoto chamharibu Wema

hiv Mzizi Mkavu aliendaga wapi
 
Sasa hivi kitimoto anakigongea KIA kwa nafasi kabisa.
 
kula kitu moto hakimuondolei uislamu wake ,wala usimshangae mbona hujawhi kumshangaa anavaa uchi anakunywa pombe ana mengi tu hayaendani na uislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nashangaa waislam wengi hufanya yasiyotakiwa halaf kimoja kama kitimoto ndio wanaona dhambi kubwa,huku kuzini wanaona kawaida tu
Mim sili kitimoto na mama hali kitimoto
Lakin wengine ndugu zangi wanakula kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…