naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Mama yake ndio muislamu hata baba yake alizikwa KikatolikiSasa ye uislamu kaupata wapi au kwa mama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yake ndio muislamu hata baba yake alizikwa KikatolikiSasa ye uislamu kaupata wapi au kwa mama?
we, huumuoni toto la mama lileSasa ye uislamu kaupata wapi au kwa mama?
hiv Mzizi Mkavu aliendaga wapiSiku chache baada ya kubainika kuwa, Miss Tanzania 2006-07 ambaye pia anatisha katika tasnia ya filamu nchini, Wema Isaak Sepetu ni mtumiaji mzuri wa nyama ya Nguruwe Kitimoto, imeonekana kuwa msosi huo umeanza kumharibu kwa kutokwa na minyama uzembe.Msanii wa filamu ambaye anajulikana zaidi kwa taito ya Pacha wa Uwoya, Jacqueline Wolper amepigwa chini kwenye shindano la kusakata muziki, maarufu kama Serebuka.
Kwa mujibu wa uchunguzi wetu, kwasasa mrembo huyo ameongozeka unene na kuwa na shavu dodo tofauti na ilivyokuwa hapo nyuma kidogo, huku utumiaji wa nyama hiyo ukitajwa kama chanzo.
Akiongea na Mwandishi Wetu, rafiki wa karibu wa msanii huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema kuwa, ulaji wa Kitimoto kwa Wema huenda ukamuathiri kwani kwa muda mfupi figa yake imeanza kubadilika.
Yaani Wema kwa Kitimoto usimpimie kabisa, lakini sasa ulaji wa nyama hiyo umeanza kuuharibu mwili wake kwani katoka minyama uzembe, nimekuwa nikimshauri ale kwa kiasi lakini mwenyewe anaona sio ishu,alisema shoga huyo wa karibu na Wema.
Katika siku za hivi karibuni, Wema alinaswa akipata nyama ya Kitimoto pamoja na ndizi za kuchoma katika baa moja bubu iliyopo nyuma ya Ukumbi wa Africentre uliopo Ilala jijini Dar es Salaam huku akishushia na kinywaji murua kisicho na kilevi.
Za chini chini zinadai kuwa, Pacha wa Uwoya ameburuzwa out ya mashindano hayo yanayosindikizwa hewani na runinga ya TBC1 baada kuwa mtoro kwenye mazoezi.
Aliposakwa kwa simu na kijiwe hiki, Jack hakupatikana hata.
globalpublishers.info - Portail d'informations
kwanini umeuliza hivyo?hiv Mzizi Mkavu aliendaga wapi
kula kitu moto hakimuondolei uislamu wake ,wala usimshangae mbona hujawhi kumshangaa anavaa uchi anakunywa pombe ana mengi tu hayaendani na uislamuMuislamu anakula kitimoto
Mmh.Kazi ipo.
Nami nashangaa waislam wengi hufanya yasiyotakiwa halaf kimoja kama kitimoto ndio wanaona dhambi kubwa,huku kuzini wanaona kawaida tukula kitu moto hakimuondolei uislamu wake ,wala usimshangae mbona hujawhi kumshangaa anavaa uchi anakunywa pombe ana mengi tu hayaendani na uislamu
Sent using Jamii Forums mobile app