kaburi jeusi
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 258
- 145
Kwakweli... nguruwe wa watu wala hawana habari. Naona watu wamechoka kumsingizia shetani sasa wamehamia kwa kitimoto.Binadamu bwana, mmechoka kumsingizia shetani kwenye matatizo yenu sasa mmeamua kumweka nguruwe.
Mhhh mkuu hii ni kaidi.Kwakweli... nguruwe wa watu wala hawana habari. Naona watu wamechoka kumsingizia shetani sasa wamehamia kwa kitimoto.
Mbuzi Katoliki mkuu.Kitimoto ndo nini
Tafadhali bibie, mimi sitajwi kwa cheo cha "mkuu" mimi ni "babu" yenu.Mhhh mkuu hii ni kaidi.
Daah walimwengu wanavituko sasa Nguruwe kaanza kusingiziwa inaonekana jamaa kavunja masharti miaka 16 hahahaha na sharti lenyewe kitimotoKwakweli... nguruwe wa watu wala hawana habari. Naona watu wamechoka kumsingizia shetani sasa wamehamia kwa kitimoto.
Huyu atakuwa kadanganywa na mganga wa kienyeji...Daah walimwengu wanavituko sasa Nguruwe kaanza kusingiziwa inaonekana jamaa kavunja masharti miaka 16 hahahaha na sharti lenyewe kitimoto
Jamani waumini wa JF naombeni ushauri niliacha kula NYAMA ya kiti moto kwa kipindi kisicho pungua miaka 16 lakini nnikarudia kula tena nna kama miezi 3 sasa kilicho tokea naona kama nayumba kiuchumi maduka 2 limebaki 1 nyumba 3 nimeuza 1 Trekta nimeuza juzi tu nilikua na ngombe 8 juzi 3 zimegongwa na gari na A/c yang haitamaniki kabsa na sasa kafika MTU Leo anahitaji nimuuzie kapajero kangu JR II ,binafsi namashaka na ulaji wa kitoweo hiki.nipeni ushauri waumini wenzangu.
Mleta maada nahisi hayuko Sawa kisaikoroji anahitaji msaada wa cancellingMbuzi Katoliki mkuu.
Ndio.naposhangaa mzee mwenzangu waganga wanajua kukataza vitu vitamu wanataka wapelekewe waoHuyu atakuwa kadanganywa na mganga wa kienyeji...
Ile kinga ya ukimwi inawezaje kuleta nuksi, kwa mfano??
Wanakataza mpaka hii dawa ya kuzuia maradhi...Ndio.naposhangaa mzee mwenzangu waganga wanajua kukataza vitu vitamu wanataka wapelekewe wao
Hahahahaha kinachofwata analipa Pajero mwisho anatoa na familia kabisaKwa hiyo unakula kitimoto unalipa duka?