Mheshimiwa, ulishaona mganga anaagiza fungu la mchicha au debe la maharage kwa ajili ya dawa?!! Ila mganga anayekwambia usile kitimoto ni hatari sana aisee!!!Ndio.naposhangaa mzee mwenzangu waganga wanajua kukataza vitu vitamu wanataka wapelekewe wao
Lazima wakukataze maana hawapatani nacho hata ukipewa dawa zao sharti la kwanza usile kitimotoMheshimiwa, ulishaona mganga anaagiza fungu la mchicha au debe la maharage kwa ajili ya dawa?!! Ila mganga anayekwambia usile kitimoto ni hatari sana aisee!!!
MKUU,BADO PAJERO UNAYO?Jamani waumini wa JF naombeni ushauri niliacha kula NYAMA ya kiti moto kwa kipindi kisicho pungua miaka 16 lakini nnikarudia kula tena nna kama miezi 3 sasa kilicho tokea naona kama nayumba kiuchumi maduka 2 limebaki 1 nyumba 3 nimeuza 1 Trekta nimeuza juzi tu nilikua na ngombe 8 juzi 3 zimegongwa na gari na A/c yang haitamaniki kabsa na sasa kafika MTU Leo anahitaji nimuuzie kapajero kangu JR II ,binafsi namashaka na ulaji wa kitoweo hiki.nipeni ushauri waumini wenzangu.
MKUU NI KITU GANI MPAKA LEO HAUJAUZA?Jamani waumini wa JF naombeni ushauri niliacha kula NYAMA ya kiti moto kwa kipindi kisicho pungua miaka 16 lakini nnikarudia kula tena nna kama miezi 3 sasa kilicho tokea naona kama nayumba kiuchumi maduka 2 limebaki 1 nyumba 3 nimeuza 1 Trekta nimeuza juzi tu nilikua na ngombe 8 juzi 3 zimegongwa na gari na A/c yang haitamaniki kabsa na sasa kafika MTU Leo anahitaji nimuuzie kapajero kangu JR II ,binafsi namashaka na ulaji wa kitoweo hiki.nipeni ushauri waumini wenzangu.