Kitimoto inanishusha kiuchumi

Kitimoto inanishusha kiuchumi

Ndio.naposhangaa mzee mwenzangu waganga wanajua kukataza vitu vitamu wanataka wapelekewe wao
Mheshimiwa, ulishaona mganga anaagiza fungu la mchicha au debe la maharage kwa ajili ya dawa?!! Ila mganga anayekwambia usile kitimoto ni hatari sana aisee!!!
 
Mheshimiwa, ulishaona mganga anaagiza fungu la mchicha au debe la maharage kwa ajili ya dawa?!! Ila mganga anayekwambia usile kitimoto ni hatari sana aisee!!!
Lazima wakukataze maana hawapatani nacho hata ukipewa dawa zao sharti la kwanza usile kitimoto
 
Tatizo sio kitimoto tatizo ni hii awamu biashara za ujanja ujanja zote zinaanguka maana kodi inalipwa, purchasing power imeshuka. Watu wamepunguza kununua so obvious maduka yataporomoka tu. Hapo kitimoto kina kosa gani unless biashara zako zinaongozwa na masharti ya waganga na walikukataza kula mdudu wewe umekahidi
 
Yale majini yake ya chuma ulete nakimbia hayapatani na mdudu.
 
Ww sema ukwel wako ya wezakuwa uliingia mkataba na xhetan alafu ukafunja maxharit yake hadi akaamua kukunyangany hizo Mali alizo kup mulidie mungu wako utubuui zambi zako utasahemewa
 
Jamani waumini wa JF naombeni ushauri niliacha kula NYAMA ya kiti moto kwa kipindi kisicho pungua miaka 16 lakini nnikarudia kula tena nna kama miezi 3 sasa kilicho tokea naona kama nayumba kiuchumi maduka 2 limebaki 1 nyumba 3 nimeuza 1 Trekta nimeuza juzi tu nilikua na ngombe 8 juzi 3 zimegongwa na gari na A/c yang haitamaniki kabsa na sasa kafika MTU Leo anahitaji nimuuzie kapajero kangu JR II ,binafsi namashaka na ulaji wa kitoweo hiki.nipeni ushauri waumini wenzangu.
MKUU,BADO PAJERO UNAYO?
 
MKUU NI KITU GANI MPAKA LEO HAUJAUZA?
 
Back
Top Bottom