Nenda nikumbuke hata kapicha tuNipo njiani kuifata. Kaniharibia bajeti yangu huyu mleta maada
Hahah utapata mkuu thou huwa napenda kula bila ndizi wala ugali....Niwekee ndizi mkuu ugali unapunguza utelezi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Vyovyote tu ile kitu ni tamu aiseeHahah utapata mkuu thou huwa napenda kula bila ndizi wala ugali....
Napenda kuishusha hivyo hivyo na bia [emoji39] [emoji39]
Usijali nitakutumia. Hajui vitu vitamu huyuNenda nikumbuke hata kapicha tu
Poa poaUsijali nitakutumia. Hajui vitu vitamu huyu
Ngoja tumpe homework aende mahali inapotengenezwa aweke order ale then arudi hapa kuja kufuta kauli....Vyovyote tu ile kitu ni tamu aisee
Nipo njiani kuifata. Kaniharibia bajeti yangu huyu mleta maada
Naomba mwaliko Numby labda kwako itakua njema..Siku ukija kwangu ntakupikia kitimoto ya maana utakuja hadithia humu. Raha ya kitimoto ipikwe,ikaangwe kwa mafuta yake,irostiwe na mtaalamu sio ile imejazana mimafuta tele,nyama laini lain. Inatakiwa iwe ngumu kavuuu
Hapana siamini bado.Ilipikwa vzr sana shem ni mm tu ilinishinda