Kitimoto is overrated haina utofauti wala utamu kuliko nyama zingine..

Siku ukija kwangu ntakupikia kitimoto ya maana utakuja hadithia humu. Raha ya kitimoto ipikwe,ikaangwe kwa mafuta yake,irostiwe na mtaalamu sio ile imejazana mimafuta tele,nyama laini lain. Inatakiwa iwe ngumu kavuuu
 
Naomba mwaliko Numby labda kwako itakua njema..
 
Afadhali umenikumbusha, ngoja nikajitwalie kwa nusu kilo ka kusukumia weekend.
 
Back
Top Bottom