Kitimoto is overrated haina utofauti wala utamu kuliko nyama zingine..

Mkuu labda hujui kitimoto....nenda java pale banana ukaagize kilo moja na ndizi au ugali alafu ulete mrejesho isije kuwa umekula nyama isiyojulikana
 
utamu hakiliwi na kila mtu
 
Dunia nzima Ukitoa utamu wa kugegedana, kinachofuata ni utamu wa kitimoto
 
Mi naomba nikupe ofa pale Rudy's farm kunduchi karibu na ledger plaza ili ufute hii kauli yakl
 
Dah, njoo Nakupeleka pale Madoto Kigogo, Yule Mzee anapika kwa order Yaani kama Hujaweka order yako usitie Mguu, order inatolewa week before...
 
Ukio a kitu kinaitwa haramu basi ujue ni kitamu saaaana.Mangi nshamwagiza kilo moja na ugali,naenda kuanza kazi baada ya lisaa karibu huku kwetu
 
Ukio a kitu kinaitwa haramu basi ujue ni kitamu saaaana.Mangi nshamwagiza kilo moja na ugali,naenda kuanza kazi baada ya lisaa karibu huku kwetu
Kale magonjwa
 
Dah, njoo Nakupeleka pale Madoto Kigogo, Yule Mzee anapika kwa order Yaani kama Hujaweka order yako usitie Mguu, order inatolewa week before...
Njoo unipitie hapa Kwa mustapha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…