Kitimoto is overrated haina utofauti wala utamu kuliko nyama zingine..

We kitimoto huijui, mmeuziwa mifuta mingi la hasha hujui kuipika. Ile inapikwa na mafuta yake babu kisha inarostiwa kiufundi unaweza shangaa watu kadhaa mkafuta kilo ya ugali
Wanaikosea sanna hyo unatakiwa kuipika kwa kuikaanga yenyewe mpaka inakuwa brown kabisa kisha unaweka wese lililotokana na kukaanga pemben huku umeshakatakata. Nyanya,pilipili hoho,karoti,vitungu,chumvi pembeni na pilipili mbuzi pembeni weka nyama ya mdudu katika sufuria weka na vitungu kaanga kwa muda kama dk 3 hv kisha weka nyanya,hoho,karoti,mbuzi pilipili. Funika mboga yako. Alfu subiri matokeo aiseee hapo kilo 3 za dona zinapotea bila chenga
 
We kitimoto huijui, mmeuziwa mifuta mingi la hasha hujui kuipika. Ile inapikwa na mafuta yake babu kisha inarostiwa kiufundi unaweza shangaa watu kadhaa mkafuta kilo ya ugali
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kweli aisee!
 
Idad kubwa ya watu walao hyo kitu si wajinga bwa mdogo,..na ndomana kwenye baa inakua na special corner,sabab ina wateja weeeng,na hao wote si wajinga.ni nyama namba1 kuliwa dunian,..china na wanaongoza.
.so,sio wajinga wote hao walao
 
Mpk nahisikia inanukiaa[emoji39]ngoja nitoke kdg nikaitafuee
 
Matendo ya Mitume 10:11-16
[11]akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inatelemshwa kwa pembe zake nne hata nchi;
[12]ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.
[13]Kisha sauti ikamjia, kusema, Ondoka, Petro, uchinje ule.
[14]Lakini Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi.
[15]Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi.
[16]Jambo hili likatendeka mara tatu; kisha kile chombo kikapokewa tena mbinguni.
 
Kama ulizoe kusoma agano la kale nadhani ni wakati wa kusoma agano jipya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…