Kitimoto is overrated haina utofauti wala utamu kuliko nyama zingine..

Naukiendelea ntaagiza aletwe kitimoto mzima hapa nimuweke kwenye friji niwe namla kidogo kidogo mpka mwezi uishe ,ile ni mbona na nichakula yani ina mapishi mengi ,hakuna kama ile
 
Usilinganishe kitimoto na vitu vya ovyo. Mm dini yangu hairuhusu hata kugusa chombo kilichopikiwa kitimoto. Ila naila kuliko maelezo
 
Nkajua unasema kitimoto is underrated kumbe sivyo.
Utakuwa mjukuu wa Mo SAW wewe.
 
Kalale tuu huu mtaa sio wako
 
Yaani udenda unanitoka. Usiwe unaleta maada za kipuuzi hapa. Ushaniharibia bajeti. Maana ulipomaliza kuweka nukta nimeinuka kwenda kuifata. usilinganishe kitimoto na uchafu wowote tafadhali
Ongependeza hiki kitoweo kikapotishwa ns kuwa kitoweo cha taifa
 
We mnaafiki sana kiliichokufanya ule ni nini wakati ulishaapa kua ni kosa hata kwa maandiko matakatifu we. Ni mwehu
 
Mkuu hujawahi kula rosti ya Kitimoto safi iliyowekewa pilipili kwa mbali na ugali laini wa moto. Kaa kimya kuku kitu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…