Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Mar 11, 2025 #1 Habari za uzima Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000 Kawaida Toka 12000-15000 Hivi hamna dini NYIE wauzaji Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
Habari za uzima Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000 Kawaida Toka 12000-15000 Hivi hamna dini NYIE wauzaji Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Mar 11, 2025 #2 Ohoooooo!!!
mgen JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 23,169 Reaction score 9,054 Mar 11, 2025 #3 Hata wakabaji hawapo Usiku shwari! Nilicho ng'amua wanaotukaba ni Hawa waliofunga Ambao ni sala.5 Sababu mateja, panya squads and the like Huwa hawafungi.
Hata wakabaji hawapo Usiku shwari! Nilicho ng'amua wanaotukaba ni Hawa waliofunga Ambao ni sala.5 Sababu mateja, panya squads and the like Huwa hawafungi.
wakunyonya JF-Expert Member Joined Feb 5, 2024 Posts 520 Reaction score 1,414 Mar 11, 2025 #4 Mbona kama jiwe gizani
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Mar 11, 2025 #5 Bar zimedolola,waganga wamekosa wateja.
Rorscharch JF-Expert Member Joined Jul 22, 2013 Posts 878 Reaction score 2,014 Mar 11, 2025 #6 Unataka kusema kwamba watu wanafuturia kitimoto msimu huu?