Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

images (17).jpeg
 

Attachments

  • 20221027_174556.jpg
    20221027_174556.jpg
    120 KB · Views: 29
Watu wanajenga Mangalore kwa kupitia huyo mnyama mkuu, na wewe fuga uza fungua bucha
Kitimoto mmoja alienona bei yake si chini ya 800k hadi 1M

Hapo bado hujauza vitoto, hapo bado hujakodisha kwa ajili ya kupandishia

See you soon tafuta pesa acha makasiriko.
 
Mungu alipoumba Dunia, ilimpendeza kuwaweka binadamu na wanyama na wadudu wakae 'pamoja'.

Kama Dunia ni 'zizi' la Maulana, basi, ndo ivo alituweka wote tukae kwenye zizi moja.

Huyo mnyama mmoja, asikupe taabu. Ulimkuta Duniani, utaondoka, utamuacha.
 
Katika jamii iliyostaarabika kwann tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
Hiyo kwenye picha ni ng'ombe unless picha haimaanishi unachokisema BTW Nyie watoto wa Mnyazi ndio hasa huwa hamheshimu dini za wenzenu saa 11 alfajiri mnatuimbia kiarabu sisi wapagani tulio na hangover za beer mnatukata stimu bwana.
 
Vipi mbona kanzu zinaanikwa tu barabarani?

Uliwahi ona kuna mtu analia?

Asa hiyo nyama ikiwa hivyo we inakukera nini?

Eti holela, unataka iuzwe kama pembe za Ndovu?

Kuheshimu Imani ya watu ni nini?

Kama umestaarabika kwanini usiheshimu biashara ya mtu? Umepiga picha hiyo biashara kwa ruhusa ya nani?

Elimu Dunia ni muhimu bwana Juma.
 
Kuna Imani zingine za kipumbavu sana.

Yaani wakifunga TV zote kazi kutangaza funga yao, wataomba vyakula vipunguzwe bei, watu wasile kwa uhuru mchana.

Kitimoto haiuzwi chumbani mwako, haiuzwi uani mwako, haiuzwi kwenye ofisi za umma, haiuzwi kwenye maduka yenye bidhaa mchanganyiko.

Yet mnataka tuuziane chumbani kwetu.

Hivi mna matatizo gani enyi wanafiki?
 
Back
Top Bottom