Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Wen
Kuna Imani zingine za kipumbavu sana.
Yaani wakifunga TV zote kazi kutangaza funga yao, wataomba vyakula vipunguzwe bei, watu wasile kwa uhuru mchana.
Kitimoto haiuzwi chumbani mwako, haiuzwi uani mwako, haiuzwi kwenye ofisi za umma, haiuzwi kwenye maduka yenye bidhaa mchanganyiko.
Yet mnataka tuuziane chumbani kwetu
Hivi mna matatizo gani enyi wanafiki?
Wenye Dini Zao wapo wamoja na wana heshimu imani za wengine ! Sisi Waabudu Mizimu kama asili yetu tunajifanya wafia dini kuliko wenyenazo
 

Attachments

  • CFD083C1-9404-423E-B59B-E6902F350CC5.jpeg
    CFD083C1-9404-423E-B59B-E6902F350CC5.jpeg
    9.8 KB · Views: 19
  • 946FC615-8ECD-4C21-9F2B-651B63D4CE04.jpeg
    946FC615-8ECD-4C21-9F2B-651B63D4CE04.jpeg
    273 KB · Views: 20
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

Mimi naona hapo ni buchani, ulienda kufanya nini ? Acha waende wanaohusika ni kama kuona kanisa ukakasirika. Tuache wakatoliki waende wakale huyo mdudu mwenye utata maana mauzo yake hupungua mwezi mtukufu siju kwanini.
 
Nenda hapo ulipopiga hiyo picha. Agiza kilo moja, mwambie akutengenezee roast kavu na ndizi 2.

Kakae sehemu ina kivuli, agiza bia mbili za Serengeti Lite wakati unasubiria kitimoto kiwe tayari, akishaleta kula hiyo kitimoto kisha agiza tena bia moja ya kushushia.

Utakuja kunishukuru
 
Mleta uzi una upungufu wa akil sio bure,yaani watu wafungue biashara yao,walipe kodi ,wewe na imani yako hiyo yakuletewa ukwazike kwa lipi? Kama huli ni wewe tuache wenzio tufjrahiye maisha
 
Back
Top Bottom