Sema hao jamaa wagomvi sana.. Ila nadhani hao watu wengine ndio wanatakiwa kuheshimu wenzao wanaokula kitimotoKatika jamii iliyostaarabika kwann tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
Hiyo kwenye picha ni ng'ombe unless picha haimaanishi unachokisema BTW Nyie watoto wa Mnyazi ndio hasa huwa hamheshimu dini za wenzenu saa 11 alfajiri mnatuimbia kiarabu sisi wapagani tulio na hangover za beer mnatukata stimu bwana.Katika jamii iliyostaarabika kwann tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?