Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Pesa Haramu
 
kitimoto haraaam haifai mungu kakataza lakini ubishi wabinadamu wanampinga Hadi mungu utaskia jitu linasema kitimoto tamu kuliko nyama yoyote ilimladitu ambishie mungu uzuli inajulikana ukila kitimoto ukifa nimotoni Haina kuuliza kwahio endeleeni
Sawa Afisa Utumishi wa Hapo Motoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa Haramu
Wewe endelea kusema haramu ila kuna wenzio wanajenga mijengo kupitia huyo mnyama na maisha yanasonga kikubwa pesa inaingia hio haramu unaijua wewe tu kwa wenzio ni halali na anapendwa sio kawaida
 
kitimoto haraaam haifai mungu kakataza lakini ubishi wabinadamu wanampinga Hadi mungu utaskia jitu linasema kitimoto tamu kuliko nyama yoyote ilimladitu ambishie mungu uzuli inajulikana ukila kitimoto ukifa nimotoni Haina kuuliza kwahio endeleeni
lin na wap Mungu alisema kitimoto haram ?
 
usiwafanye wavaa kobaz wakatenda dhambi asee
 
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

We jamaa sjawai kukuelewa na sitakaa nikuelewe... Yani Kila uchwao kufungua thread za kusababisha waislam na dini yao kutukanwa... Uko juu hauko sawa nadhan... Mkatoliki gani wewe una mambo ya kiwaki hivi... Unavyotumia na hiyo username ya Juma bas vichwa panzi wote wanaunga wakidhani ni muislam... Shame on you
 
Me naona bora waendelee kuiita haram ili tufaidi wachache[emoji39], imagine wasingekua haram kwao, nahisi wangetoweka duniani[emoji24] manake kila mtu angekua anaagiza kitimoto ya kutosha na wenzetu wanavojua kula vitu vitamu, ingepanda sana bei, bora tu jamani, MUSLIM Msile kitimoto ni haram jamani msiile mtatipwa motoni mkiila[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…