Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Biashara ya mwendokasi na hao watoto ndio faida yenyewe maana unaambiwa akizaa mzao mmoja wamepungua sana anazaa watoto 12 yaan hapo ndio amezaa wachache, sasa piga hesa kila mmoja akikua kwa ajili ya kutafunwa km kitoweo ukamuuza 800k kila mmoja una faida kiasi gan?

800k × 12 =?

Hapo bado haujakodisha madume kwenda kuyapandisha kwa majike
Pesa Haramu
 
kitimoto haraaam haifai mungu kakataza lakini ubishi wabinadamu wanampinga Hadi mungu utaskia jitu linasema kitimoto tamu kuliko nyama yoyote ilimladitu ambishie mungu uzuli inajulikana ukila kitimoto ukifa nimotoni Haina kuuliza kwahio endeleeni
Sawa Afisa Utumishi wa Hapo Motoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa Haramu
Wewe endelea kusema haramu ila kuna wenzio wanajenga mijengo kupitia huyo mnyama na maisha yanasonga kikubwa pesa inaingia hio haramu unaijua wewe tu kwa wenzio ni halali na anapendwa sio kawaida
 
kitimoto haraaam haifai mungu kakataza lakini ubishi wabinadamu wanampinga Hadi mungu utaskia jitu linasema kitimoto tamu kuliko nyama yoyote ilimladitu ambishie mungu uzuli inajulikana ukila kitimoto ukifa nimotoni Haina kuuliza kwahio endeleeni
lin na wap Mungu alisema kitimoto haram ?
 
Biashara ya mwendokasi na hao watoto ndio faida yenyewe maana unaambiwa akizaa mzao mmoja wamepungua sana anazaa watoto 12 yaan hapo ndio amezaa wachache, sasa piga hesa kila mmoja akikua kwa ajili ya kutafunwa km kitoweo ukamuuza 800k kila mmoja una faida kiasi gan?

800k × 12 =?

Hapo bado haujakodisha madume kwenda kuyapandisha kwa majike
usiwafanye wavaa kobaz wakatenda dhambi asee
 
mbona typing yako km vile hizo 800k zinakutoa udenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuheshimu imani za wengine ndio uungwana
 
Attachments

  • images (24).jpeg
    images (24).jpeg
    52.6 KB · Views: 6
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

We jamaa sjawai kukuelewa na sitakaa nikuelewe... Yani Kila uchwao kufungua thread za kusababisha waislam na dini yao kutukanwa... Uko juu hauko sawa nadhan... Mkatoliki gani wewe una mambo ya kiwaki hivi... Unavyotumia na hiyo username ya Juma bas vichwa panzi wote wanaunga wakidhani ni muislam... Shame on you
 
Me naona bora waendelee kuiita haram ili tufaidi wachache[emoji39], imagine wasingekua haram kwao, nahisi wangetoweka duniani[emoji24] manake kila mtu angekua anaagiza kitimoto ya kutosha na wenzetu wanavojua kula vitu vitamu, ingepanda sana bei, bora tu jamani, MUSLIM Msile kitimoto ni haram jamani msiile mtatipwa motoni mkiila[emoji16]
 
Back
Top Bottom