Kitimoto nacho BEI JUU!

Kitimoto 21k wapi hiyo asee maeneo mengi ya kawaida dar bei ni 12k to 14k kwa kg 1. Hiyo ya 21k labda ulienda sehemu iko too expensive. Sisi wengine tunainjoy tu kwa hizo bei.
 
Hapo Moshi ndio napashangaa, gharama ya ufugaji kubwa alafu bei ya uuzaji mnyama ndogo.
Wana toka huko kibosho sijui wana kula machicha ya mbege. Ila ndio bei yake, huku siku hizi wana kula hadi utumbo.
 
Kitimoto kisipigwe marufuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…